RAV4 L 1800cc 5Door Inahitajika haraka sana

RAV4 L 1800cc 5Door Inahitajika haraka sana

Hofu yangu ni miaka,je nikinunua frm Japan gari ya 1990s ambazo ndo hizo Kill time haina tatizo?

Kill tyme ilianza kutengenezwa 2000 na siyo miaka ya tisini mdau. Mwaka 2005/06 walibadilisha na kuleta tolea lingine. Lakini kati ya mwkaka 2007/2008 wakatoa lingine.na kubwa lake aina ya VANGUARD. Baadae mwaka jana wametoa kubwa kama vanguard ila ni purely RAV4
 
01w.jpg
Nazungumzia hii mdau,kwa sasa mpaka inafika bongo shilingi ngap zinantoka?na nyingi ni za 1990s je zinafaa?
 
Mkuu kufaa au kutofaa kwa gari kunategemea na mtumiaji. Kama matumizi na mahitaji yako yanakidhiwa na gari husika basi itakufaa. Na pia bajeti yako
Yeah,mimi matumizi yangu mengi ni kwa rough roads,hofu yangu ipo kwenye mwaka,ndo maana nimeuliza,hizi ni za 1999.Nisaidie kuanzia hapo kwanza
 
View attachment 248866
Nazungumzia hii mdau,kwa sasa mpaka inafika bongo shilingi ngap zinantoka?na nyingi ni za 1990s je zinafaa?

Ok,kama ni hilo hapo pichani ni la 1999 kurudi nyuma. Ni gari roho ya paka sana,linapita popote. Ila kwa Automatic transimission huwa lina mlio fulani hivi wenyewe wanaita kiduku ambapo ukirudisha reverse linalia GUUU,kwenye gear box,lakini haina madhara zaidi ya mlio kukera!
 
Asante sana mdau,mlio kwangu si kero,kwangu muhimu ni uimara na ulaji mdogo wa wezere,na hili kulitoa Ujapani mpaka linaingia barabarani hapa kwetu ni kiasi gani?
 
Hahaha haha Hi ni gari safi sana mkuu

Nisahihishe kidogo. RAV4 Model ya <1999(Old Model) kama lilivyowekwa pichani hapo juu ya milango 5,hamna lenye 1800cc bali zote ni cc1998(2000). Ni baadhi ya kill time za engine ya 1ZZ ndo huwa zina cc1800 na zingine engine ya D4 zina cc2000.

Ikumbukwe pia kwa Automatic RAV4 Old Model, kuna full time 4wd na front wheel,hivyo wakati unaagiza nje kuwa makini na specs. Kwa manual, 4wd unaengage inapobidi tu tofauti na zile automatic jambo ambalo huongeza ulaji mafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom