Wanasema ndio fuel efficient yaani ina matumizi mazuri ya mafuta kuliko D4 engines, ni engine
Wala usijali ndugu yangu wote tunajaribu kwenda na wakati maana najua kuna mambo mengi zamani unauziwa gari kwa jina tu, sasa kuna mambo mia, haya shukranAsante sana Adoo,umenisaidia sana.Maana huwa naiona sana kwenye baadhi ya magari ila nilikuwa sijui.
Ubarikiwe Sana Mkuu