mtoto matataa
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 391
- 249
Duh ngoja nifanye mpango nijiunge na Chawata y ma-blind labda nawezabahatisha ujumbe wa bunge la katiba likirudi mwezi August
Source .....
Hapana Mkuu Kilitime ni zile model kati za Rav 4 yaani si old model wala new model
Hahahaha wanaume wengi kutofautisha rangi ni tatizo .ila tatizo lako kiboko
Asante mkuu
...ni mojawapo ya aina ya magari yanayotakiwa kurudishwa JAPANA!
"HITILAFU MAGARI YA TOYOTA: Magari
milioni 6.6 aina ya Yaris, Urban
Cruiser, RAV4, Hilux kurudishwa
kiwandani kutokana na hitilafu,
kampuni ya Toyota yasema leo."
Pengine ni tego hilo la bima! biashara ya bima ngumu sana! labda life assurance lakini hizi za magari hatari tupu!
Sasa ndiyo iwe mkopo na bado kumaliza....pole yake.