Rav 4 ya kununua inatafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rav 4 ya kununua inatafutwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ANDENDEKISYE C, May 30, 2012.

 1. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta TOYOTA RAV 4,
  Iwe ya milango mi 5. Nitajie imetembea km ngapi? year of manufacture. Imeingia nchini lini? rangi yake? na taarifa zingine muhimu. Bila kusahau unauza bei gani. Ukiambatanisha picha itapendeza sana. waweza kuni PM au piga +255 719 473879
   
 2. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ninayo ya 1997, imetembea 111,000KM, ni rangi ya gold metallic, automatic, petrol, imeingia nchini mwezi wa 12 mwaka 2011, lina namba BXR, bei ni 15m, maongezi yanakaribishwa. Samahani, picha nimeshindwa kuweka, mtandao una kwikwi kidogo. Napatikana kwa namba 0715555512
   
 3. K

  Kabachubya Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Gari aina ya RAV 4 ya milango 5 ya rangi ya SILVER, imetengenezwa mwaka 1998,

  Engine capacity ni CC 1984
  Odometer ni km 160,000
  Owner ni mmoja tu tangu imeingia Tz.

  Inauzwa 10Million. Ipo kwenye hali nzuri.

  Kwa mawasiliano zaidi 0717 123 464, 0762 101 178 au 0713 123 464
   

  Attached Files:

Loading...