Hii hapaRav 4 short chasis (old model)
Nashukuru kwa mchango wako...japo suala la muundo sio shida sana kwangu...Hii gari imekaa hovyo sana.
Muundo wake ni mbaya sana.
Yani kama wewe ni mjanja sikushauri.
Lkn kama ni mshambamshamba basi chukua.
Nashukuru kwa mchango wako...japo suala la muundo sio shida sana kwangu...
Ni maoni yake...Hahaha utakuwa mshamba, kwa mujibu wa BRO SANTANA hahahaha
Thanks a lot.Kwa uzoefu mdogo nilioupata kwenye kuitumia hiyo(miaka2).
1.gar ngumu kwa maana ina imili shida za barabara zetu hasa kwenye mashimo.
2.ulaji wake wa mafuta Ni mzur tu niliyokuwa nayo ilikuwa natoka tabata Hadi town na kurud kwa 10-12 elfu.
3.ukiijali kwenye service nadhani hutopata shida yyt ile.ambazo Ni common kwenye magar mengine.
Changamoto.
1.kuna kile kishindo huwa kipo kwenye Rav 4 nyingi ukitoa gia kwenye parking kwenda nyuma au mbele.
2.ufinyu wa nafasi.
Ujumla
Ni gar nzur Sana kwa kuvumilia Hali za barabara zetu Kama bajeti yako inaruhusu nunua bila tabu hutojutia hasa ukiipata mpya(kwa Tanzania).
Kwa uzoefu mdogo nilioupata kwenye kuitumia hiyo(miaka2).
1.gar ngumu kwa maana ina imili shida za barabara zetu hasa kwenye mashimo.
2.ulaji wake wa mafuta Ni mzur tu niliyokuwa nayo ilikuwa natoka tabata Hadi town na kurud kwa 10-12 elfu.
3.ukiijali kwenye service nadhani hutopata shida yyt ile.ambazo Ni common kwenye magar mengine.
Changamoto.
1.kuna kile kishindo huwa kipo kwenye Rav 4 nyingi ukitoa gia kwenye parking kwenda nyuma au mbele.
2.ufinyu wa nafasi.
Ujumla
Ni gar nzur Sana kwa kuvumilia Hali za barabara zetu Kama bajeti yako inaruhusu nunua bila tabu hutojutia hasa ukiipata mpya(kwa Tanzania).
Mkuu nini ushauri wako...Carina Ti/Si au hii rav 4 ndogo ipi imara na rahisi kuitunza???Kwa uzoefu mdogo nilioupata kwenye kuitumia hiyo(miaka2).