Rav 4 short chasis

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Habari wakuu...
Naomba mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu tushirikishane juu ya mambo yafuatayo:
1. Uimara wake (Reliability & durability)
2. Ulaji wa mafuta(fuel consumption)
3. Gharama za kuitunza(maintenance costs)
3. Changamoto za hii gari
Na mengineyo.
Nikipata majibu kwa mtu ambaye ameshaitumia au anayeitumia ingenisaidia Sana
Karibuni sana!
 
Rav 4 short chasis (old model)
Hii hapa
4756428.jpeg
 
Hii gari imekaa hovyo sana.
Muundo wake ni mbaya sana.
Yani kama wewe ni mjanja sikushauri.
Lkn kama ni mshambamshamba basi chukua.
 
Kwa uzoefu mdogo nilioupata kwenye kuitumia hiyo(miaka2).
1.gar ngumu kwa maana ina imili shida za barabara zetu hasa kwenye mashimo.
2.ulaji wake wa mafuta Ni mzur tu niliyokuwa nayo ilikuwa natoka tabata Hadi town na kurud kwa 10-12 elfu.
3.ukiijali kwenye service nadhani hutopata shida yyt ile.ambazo Ni common kwenye magar mengine.

Changamoto.
1.kuna kile kishindo huwa kipo kwenye Rav 4 nyingi ukitoa gia kwenye parking kwenda nyuma au mbele.
2.ufinyu wa nafasi.

Ujumla
Ni gar nzur Sana kwa kuvumilia Hali za barabara zetu Kama bajeti yako inaruhusu nunua bila tabu hutojutia hasa ukiipata mpya(kwa Tanzania).
 
Thanks a lot.
Umenipa majibu niliyokuwa nayatafuta.
Stay blessed!
 
Kwa uzoefu mdogo nilioupata kwenye kuitumia hiyo(miaka2).
1.gar ngumu kwa maana ina imili shida za barabara zetu hasa kwenye mashimo.
2.ulaji wake wa mafuta Ni mzur tu niliyokuwa nayo ilikuwa natoka tabata Hadi town na kurud kwa 10-12 elfu.
3.ukiijali kwenye service nadhani hutopata shida yyt ile.ambazo Ni common kwenye magar mengine.

Changamoto.
1.kuna kile kishindo huwa kipo kwenye Rav 4 nyingi ukitoa gia kwenye parking kwenda nyuma au mbele.
2.ufinyu wa nafasi.

Ujumla
Ni gar nzur Sana kwa kuvumilia Hali za barabara zetu Kama bajeti yako inaruhusu nunua bila tabu hutojutia hasa ukiipata mpya(kwa Tanzania).

Naungana na wewe umeisemea ukweli mtupu,ni gari ya masikini na tajiri kwa Tanzania.Ukishindwa kuifanyia maintenance RAV 4.Ujue hauwezi kumiliki gari achaa!!!!🤝🤝🤝🤝
 
Kwa uzoefu mdogo nilioupata kwenye kuitumia hiyo(miaka2).
1.gar ngumu kwa maana ina imili shida za barabara zetu hasa kwenye mashimo.
2.ulaji wake wa mafuta Ni mzur tu niliyokuwa nayo ilikuwa natoka tabata Hadi town na kurud kwa 10-12 elfu.
3.ukiijali kwenye service nadhani hutopata shida yyt ile.ambazo Ni common kwenye magar mengine.

Changamoto.
1.kuna kile kishindo huwa kipo kwenye Rav 4 nyingi ukitoa gia kwenye parking kwenda nyuma au mbele.
2.ufinyu wa nafasi.

Ujumla
Ni gar nzur Sana kwa kuvumilia Hali za barabara zetu Kama bajeti yako inaruhusu nunua bila tabu hutojutia hasa ukiipata mpya(kwa Tanzania).
Mkuu nini ushauri wako...Carina Ti/Si au hii rav 4 ndogo ipi imara na rahisi kuitunza???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom