Rav 4 milango mitano inahitajika

Rav 4 milango mitano inahitajika

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Kama heading inavyosema, gari tajwa hapo juu inahitajika
Sifa
-Engine 3s
-Taa zake ziwe na bulb mbili kwa ndani/partition mbili
-Rangi ya silver, dark blue, blue, damu ya mzee au nyeusi
-Iwe katika hali nzuri
-Namba C na kuendelea

Bajeti 6-6.8m

Simu 0716411720
 
Milango 5 au 4???
Buti linahesabiwa kama mlango pia.

Nahisi waliconsider verse ya Fid Q kua.

Mlango siyo mlango hadi ufungwe au uachwe wazi...

Wakaona ok now kama buti linaweza fungwa au kuachwa wazi si ni mlango pia?
 
Boneti linahesabiwa kama mlango pia.

Nahisi waliconsider verse ya Fid Q kua.

Mlango siyo mlango hadi ufungwe au uachwe wazi...

Wakaona ok now kama boneti linaweza fungwa au kuachwa wazi si ni mlango pia?

Mlango wa Nyuma ndio Mlango wa tano mkuu. Bonnet inabaki kuwa bonnet. Kwa hiyo Rav 4 milango mitano ni minne ya pembeni na moja wa nyuma.
Mtoa mada kwa maana nyingine ameweka wazi kuwa haitaji Rav4 Milango mitatu ; miwili ya pembeni na moja wa nyuma.
 
Mlango wa Nyuma ndio Mlango wa tano mkuu. Bonnet inabaki kuwa bonnet. Kwa hiyo Rav 4 milango mitano ni minne ya pembeni na moja wa nyuma.
Mtoa mada kwa maana nyingine ameweka wazi kuwa haitajaji Rav4 Milango mitatu ; miwili ya pembeni na moja wa nyuma.
Kwani mlango wa nyuma wa kuwekea mizigo watu wengi tunauitaje?
 
Sijaelewa swali ila Gari ndogo (Sedan ) kama Carina pamoja kuwa na Buti la kuwekea mzigo nyuma lakini bado wanaiita ni ya milango minne.

Kwani mlango wa nyuma wa kuwekea mizigo watu wengi tunauitaje?
iki
 
Sijaelewa swali ila Gari ndogo (Sedan ) kama Carina pamoja kuwa na Buti la kuwekea mzigo nyuma lakini bado wanaiita ni ya milango minne.

iki
Nilichanganya code kati ya neno boneti na buti. Nilimaanisha buti mwanzo wakati naandika boneti.
 
Sihawahi ona milango 5 ya abiria either, milango minne na wa trunk ambao upo kwenye kila gari ‍♀️‍♀️
Du...magari yakihesabiwa milango huwa wanasema milango 3 ama 5 si vinginevyo
 
Sijaelewa swali ila Gari ndogo (Sedan ) kama Carina pamoja kuwa na Buti la kuwekea mzigo nyuma lakini bado wanaiita ni ya milango minne.
Buti ya Carina haiwezi kukupelekea ukatokea ndani ya Gari.
Buti ya Rav4 unaweza kuitumia ukatokea ndani ya gari.

Ndio sababu
 
Kama heading inavyosema, gari tajwa hapo juu inahitajika
Sifa
-Engine 3s
-Taa zake ziwe na bulb mbili kwa ndani/partition mbili
-Rangi ya silver, dark blue, blue, damu ya mzee au nyeusi
-Iwe katika hali nzuri
-Namba C na kuendelea

Bajeti 6-6.8m

Simu 0716411720
Upo wapi? Kama upo Arusha njoo uone "kisu" namba "A" ila inamilikiwa na "muhindi." Ukioridhika mfanye biashara. NB: Matairi yote ni mapya (hadi lile la reserve." Rangi ni damu ya mzee.
 
Back
Top Bottom