GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,705
- 128,214
Kujua Ratiba Za Matukio Muhimu Makubwa Ya Leo Jumamosi Na Kuamkia Jumapili Ya Kesho Haswa Kwa Kuanzia Ule Mtanange Wa Yanga Na Mpambano Wa " Mai Naiweza " Na " Pakua Yao " Ratiba Kamili Ni Kama Ifuatavyo"
Mechi Ya Yanga Itaanza Saa 3 Kamili Usiku Kwa Saa Za Afrika Ya Mashariki Na Mechi Itarushwa Live Na Kituo Cha Television Cha AZAM Two Lakini Kwa Wale Labda Mtakaokuwa Hamna Pesa au Visambusi Majumbani Kwenu Basi Redio E FM Itatutangazia Mtanange Huo Moja Kwa Moja Kutoka Mjini Sousse Na Huko Yupo Mtu Ambaye Ndiyo Huigiza Ile Sauti Muipendayo Ya PANJUANI Lakini Hataki Kujulikana Kama Ni Yeye Ila Leo Nimewafumbua Masikio Yenu Na Si Mwingine Bali Ni Mwana Yanga ALIYETUKUKA Maulid Baraka Kitenge.
Ule Mpambano Wa Ndondi Unaosubiriwa Kwa Hamu Na Wanamasumbwi Wote Duniani Na Wanamichezo Utaanza Kesho Saa 1 Kamili Asubuhi Kwa Saa Za Hapa Kwetu Afrika Ya Mashariki Isipokuwa Yale Mapambano Ya Utangulizi Ambayo Mtoto Wa Matumla Aliingizwa Mjini Kitaalam Yanaitwa ( Under Cards ) Yataanza Saa 10 Na Nusu Za Alfajiri ILA NGOMA Yenyewe Ni Saa Moko Kamili Kesho Asubuhi Na Taarifa Hii Najua Itawauzi Sana Wachungaji, Makasisi Na Mapadre Kwani Kesho Nina Uhakika Watasali Wenyewe, Kutoa Sadaka Wenyewe Na Kuimba Nyimbo Wenyewe Kwani Waumini Wao Wengi Tutakuwa Tuna NDONDEKA Ktk Vibanda Umiza!
Naomba Kuwasilisha!