Ratiba yangu October 25, 2015

Hi

Siku io ratiba yangu itakuwa kama ifuatavyo÷
1.Naamka asubuhi na mapema kabla hata jogoo hajawika

2.Nakunywa juice ya ukwaju ili nipate hasira

2.Naangalia picha kazaa za wamama walolala zahanati wanne wanne na za wanafunzi waliokaa chini

3.Naangalia picha za Mwangosi kisha nakunywa tena juice yangu ya ukwaju

4.Nachukua kichinjio changu pamoja na pen mbili mpya(tested kabisa)

5.Navaa Earphone na ku-play mwimbo wa Roma"viva roma"

6.Naelekea machinjion

7.Baada ya kutumia kichinjio changu nahesabu hatua mia mbili kutoka machinjioni na kutulia ili nihakikishe kama kweli kazi imemalizika....
 

LaZma wakukome sema juis ya ukwaju tamu labda upge juisi ya muarobaini au ya mbilimbi apo watakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…