Ongeza
11. Foleni za Dar
12. Kukatika kwa umeme pamoja na bei kuwa kubwa
13.ukosefu wa maji safi na salama
14. Shilingi kuendelea kushuka thamani
15.mafuriko yanayotokea Dar hata kwa mvua za dakika mbili.
Kwa haya lazima kichinjio changu kifanye kazi ipasavyo.
Hahahahaaa nimecheka sana aisee...mimi nini mahasira hata sihitaji juisi ya ukwaju maana nahisi nikiongezea na hiyo nitarest in pisi nipunguze kura bureee
Ukifika weka audio ya msigwa akiwachana bungeni km hii....hamjakaa sawa madawati hamjakaa sawa wachina hamjakaa sawa brn people they think the same way and u expect diffrnt rizalt........