Ratiba yako ya weekend ikoje?


hauna hata kabiashara kakuzungukia weekend hii mkuu?maana naona hyo mizunguko yako yote ni kama haina tija kwa taifa.
 
shes gone? The new one you were teaching how to make juice? Ama nimechanganya? When I was pregnant I loved to do my chores. Hata deki. Mungu atakusaidia utazoea.

Nimemfukuza bwana, one day nimerudi home unexpectedly early (noon) sikumkuta then after an hour anarudi wearing my clothes. Sikufikiria zaidi ya kumfukuza!

Nimeshaanza kuzoea n l kinda like it, ingawa nafikiri nitamtafuta mtu wa kunisafishia madirisha at least once a month; na kwa ulinzi l have Mlinzi wa mchana na wa usiku.

Nakula left over ya jana (minced meat) na chips nilizokaanga for just 6 mins. Hiyo ni one of the advantage of being alone. LOL
 

mi leo nina hamu ya kuchunwa chunwa
 
take them for a run or something? Dogo akichangamka nitamnunulia German Shepherd ka puppy.
Sijaona kama baba mtoto umemtaja, hata kumpigia simu!!!!!!!!!!
 
Tena zaidi!

Hakuna mchezo wowote unaozidi American football kwa popularity Marekani. Inaanza football, Nascar, baseball, basketball, na ice hockey.


Naelewa kwa wamarekani ni hivyo
nimeuliza kwa wewe ambae umetokea TZ na probably ulikuwa
raised with soccer na maybe basketball...
je american football now is your first game too?
just curious...
 
Weekend yangu jana jmosi nimetua ofisini mishale ya 3 asbh mpaka mida fulani yani saba, kisha nikazungusha tairi za saloon mpaka kigamboni shamba, ile jua limekuwa jekundu tayari nikawa nimeshatua
barber shop maandalizi ya j2, leo kama hivi asbh ibada ya kwanza then mlimani city, sasa naelekea home
back to da place whr i belong tayari kuianza j3.

Neno la leo church zaburi ya 138 nimeipenda hiyo

gud sunday pple
 
dahhhh

weekend yangu huwa ni kama weekdays tu sioni tofauti ya jumatatu na jumamosi wala jumapili.
niko busy 7 days
 
mimi nipo na nafamilia yangu leo jumapili pamoja na familia yangu tunapika chakula cha mchana na (mimi,mke wangu and my 2 nieces who are with me for the week end) then baada ya hapo tutaenda Mlimani city kucheki movies na mwishowe nawarudisha kwao
 

whatttttt? Nguo zako?? Hawa wanakuwaga na special ability to piss you off and make you lose your temper. I love washington windows ili nicheke maji. Chukua hosepipe it will make it eastern. Ila deki linalofata inabidi ulale kwanza. Lol.
ooooh yeah, being alone ina utamu wake.
 
OMG... likiwa kubwa si litamla?
Why not Chihuahua...

a GS would rather die than harm its master. Nasema hili from experience. Mdogo wangu alikuwa amekaa kwenye lawn na GS wangu alikuwa amekaa pembeni. Tupo ndani tunashangaa mbona K9 yupo so excited? Kuja kugundua kulikuwa na nyoka mkubwa maeneo yake. Ila baadae alikuja kufa, although it was unrelated to the snake incident.
 

awesome. I like. Von Mo share basi huo ujumbe wa Biblia in words. Do it for me jamani.
 
dahhhh

weekend yangu huwa ni kama weekdays tu sioni tofauti ya jumatatu na jumamosi wala jumapili.
niko busy 7 days

its all good hun. Weka sembe mezani by all means. Au sio?
 
mimi nipo na nafamilia yangu leo jumapili pamoja na familia yangu tunapika chakula cha mchana na (mimi,mke wangu and my 2 nieces who are with me for the week end) then baada ya hapo tutaenda Mlimani city kucheki movies na mwishowe nawarudisha kwao

I would say that is a weekend well spent. Which movies are showing today?
 
Naelewa kwa wamarekani ni hivyo
nimeuliza kwa wewe ambae umetokea TZ na probably ulikuwa
raised with soccer na maybe basketball...
je american football now is your first game too?
just curious...

I think it is Boss. You should see me when my team is playing. I get really jazzed up.

But my love for soccer will never wane because that's what I grew up on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…