jamiif!...wewe kweli bazazi...hahahahahahahahh!!!!!!!!!!!!!!!!!
mmh! Na kama kasafiri halafu umejisikia?
nakubaliana nawe kabisa! ratiba mi natupa kuleeeeeeeeeeeeeeee naweka shida chini...namcheki mrembo hivi... bah bah bah banjuka juuu!Pole kwako kuna ratiba? nijuavyo mie nikimhitaji hata kama nipo jikoni naacha kupika ananipa raha kupika baadae.
labda kama ni mama wa nyumbani,wanaofanya kazi wana kiburi sana, kila siku atakuambia amechoka kazini,foleni etc,hivyo kuwa na nafasi ya kukupa siku za jmosi na jumapili tuu
Kwhyo unataka tukupangie ratiba?? Ama tukupe za kwetu?? Sijaelewa unajua, ila mim binafsi nakulaga kila Alhamisi
Heshima kwenu wadau,
Kumekuwa na migongano katika ndoa hasa kuhusu ratiba ya KUFANYANA
Hii ni kuhusu TENDO la ndoa linapaswa kufanywa mara ngapi kwa mfano kwa wifi?
Wengine huweka ratiba ya jumatatu, jumatano na ijumaa kama ndo siku ya kupiga mechi, inapotokea jumanne au jumamosi nina kiu ratiba ivunjwe au kufumiliana?
Au je linafanywa pale mmojawapo anaposikia hamu? na je kama mwenzako hajisikii kufanya TENDO?
Pale mmojawapo anapokuwan na hamu sana wakati mwenzake ni mogonjwa au ana tatizo la muda mrefu je avumilie tu kwa ajili ya kumridhisha mwenzake?
​
Karibuni kwa michango yenu ya kujenga na kuimarisha wanandoa
Acheni kunisimamisha viungo vya uzazi mwenzenu wife kasafiri ni miezi kadhaa sasaratiba tena jamani? kha!!! mi naona ni suala la wawili kuridhishana/kushughulikiana pale mmoja au wote mnapokuwa na hamu ya tendo hilo...............hata km hujisikii ni vema ukavuta stimu ili umfurahishe mwenzako..sasa km usipomfurahisha wewe atafurahishwa na nani? au usaidiwe? hata iwe kila baada ya lisaa...ni kufurahishana na kuridhishana tu jamani...si mmependana?
Thubutu! hilo halina mama wa nyumbani wala mfanyakazi inategemea ni jinsi gani umeomba. Epuka kitanda kuwa mahakamani.
Hii kitu haina ratiba kabisaaaa
1. Nimechoka sana uwe na huruma na wewe, kha!
2. Kichwa kinaniuma sana leo
3. Sina raha leo moyoni, sijui kwa nini
4. Sijisikii kufanya leo, tufanye kesho
5. Tutafanya baadae, ngoja nipumzike
6. Ninachoka kufanya kila siku.
7. Nadhani nimechubuka humu ndani, siwezi leo ngoja nipone!
8. ,,,,,,,,,,,,,,,
mmmmmhhhhh huu ni ujinga au uhanithi, au ana jini??
Mnayoyasema hapa ni tofauti na mnayoyafanya. Mkiwa home mara zote hampo tayari visingizio kibao.