Imekaa kiupendeleoInashangaza kweli yan simba na yanga kuna namna wananufaika sana,,hata simba tumecheza j3 na azam then azam anacheza leo alhamis na namungo wakati huo simba tuna mechi mpaka jmosi na viporo bdo vipo hapo nashangaa mbna kama wengne hawapumzishwi kabsa?
Hamia DRC Mkuu.Bongo kila kitu ni ubabaishaji tu.
Timu ndogo hazitakiwi kuwa na hakiNimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu?
Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na hakuna anaejali kabisa matokeo yake timu hazipati muda wa kutosha kujiandaa dhidi ya mechi inayokuja huku Simba na yanga zikinufaika na ratiba hiyo,kwa Nini team zilizocheza leo zisicheze michezo yake ijayo siku moja??
Hussein Massanza wewe ni msemaji wa timu ya Singida na ni miongoni mwa wadau wa soka nchini unaweza kutusaidia kujibu hili na kulifikisha ktk mamlaka husika...
Hapana. Mimi najiandaa kuhamia Burundi. Kuna vitu vichache tu ndiyo nipo kukamilisha.Hamia DRC Mkuu.
Samahani una undugu na LUCAS MWASHAMBA?Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu,
Utakuwa ni taahira kwenye masuala ya soka.Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu?
Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na hakuna anaejali kabisa matokeo yake timu hazipati muda wa kutosha kujiandaa dhidi ya mechi inayokuja huku Simba na yanga zikinufaika na ratiba hiyo,kwa Nini team zilizocheza leo zisicheze michezo yake ijayo siku moja??
Hussein Massanza wewe ni msemaji wa timu ya Singida na ni miongoni mwa wadau wa soka nchini unaweza kutusaidia kujibu hili na kulifikisha ktk mamlaka husika...
Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu?
Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na hakuna anaejali kabisa matokeo yake timu hazipati muda wa kutosha kujiandaa dhidi ya mechi inayokuja huku Simba na yanga zikinufaika na ratiba hiyo,kwa Nini team zilizocheza leo zisicheze michezo yake ijayo siku moja??
Hussein Massanza wewe ni msemaji wa timu ya Singida na ni miongoni mwa wadau wa soka nchini unaweza kutusaidia kujibu hili na kulifikisha ktk mamlaka husika...
Ligi yetu ina madhaifu mengi sana
Mashujaa
Ken gold
KAGERA sugar
JKT
Singida BS
Pamba jiji
Azam
AISEE hizi timu zinachezeshwa mpaka huruma
TImu inayopumzika zaidi ni Simba
hujaja kwa marefa ndo utaskia mpaka kizunguzungu!
Leo JKT Wamepewa penalt isiyojulikana imetokana na nini😅😅
Mkuu vipi EPL?Hapo Uto anaumiiia kuona moja ya tawi lake linaonewa. Utani kidogo.
Nikiwa serious zaidi, ni kweli timu ndogo zinaonewa sana kwenye ratiba. Kwa mfano, sijawahi kuona Simba au Yanga inacheza saa 9 mchana, labda kwenye ngao iliyopita ila timu ndogo zinapangiwa muda huo mara kwa mara kwenye ratiba za NBC.
Mimi nadhani kuna mambo mengi ya kufanya ili kuleta usawa katika ligi. TFF ifungue huu mjadala rasmi ili watu watoe dukuduku lao na wafanyie kazi haya maoni.