Ratiba ya msiba wa mheshimiwa Ely Macha Dodoma mjini

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,181
1,493
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) WILAYA YA DODOMA MJINI

TAARIFA HIZI NDO RASMI
Nawatangazia Taarifa RASMI Wanachama,Viongozi,Makamanda wote tukutane kwa pamoja kwenda kufanya mapokezi ya msiba wa mpendwa wetu Mheshimiwa ELY MACHA(Mbunge) na kusindikiza mpaka Viwanja vya Bunge kwaajili ya taratibu za heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda Mkoani Arusha kwaajili ya mazishi............

MAHALI(tutakapo kutana):OFISI ZA KANDA AREA C
TAREHE:21,April.2017 siku ya IJUMAA
MUDA:SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe 'AMEN'
(samahani kwa usumbufu uliojitokeza)
Imetolewa na
MATHIAS RAYMOND NYAKAPALA
Katibu wa Wilaya
 
Back
Top Bottom