Ratiba Ya Mazishi ya Msanii Langa

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
Ratiba ya mazishi ya marehemu
LANGA KILEO itakuwa kama
ifuatavyo …. Msiba upo nyumbani
kwa wazazi wa LANGA ambapo ni
maeneo ya MIKOCHENI nyuma ya
hospitali ya AAR ….
Mwili wa marehemu utaagwa siku
ya Jumatatu, Saa 7 mchana na
baada ya hapo mwili utaelekea
makaburini Kinondoni kwa mazishi
ambapo imepangwa itakuwa ni
majira ya saa kumi alasiri …
R.I.P Langa Kileo …
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371280367062.jpg
    uploadfromtaptalk1371280367062.jpg
    34 KB · Views: 284

Similar Discussions

Back
Top Bottom