Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimeendelea kutikisa nchi katika operesheni yake maalum ya M4C OPD.Huku chama hicho kikiingiza maelfu ya wanachama karibu kila siku kote nchini.
Ratiba ya leo ya M4C- Operesheni kama ilivyothibitishwa na Afisa habari mkuu Tumaini Makene ni:
Timu ya Mkiti Mbowe, Makamu wake Said Issa Mohame na Halima Mdee: Kibaha mjini, Kibiti, Mkuranga na Kisarawe.
Timu ya Katibu Mkuu Dkt. Slaa, Vincent Nyerere na Ezekia Wenje: Nyehunge (Buchosa), Kwimba (Ngudu), Sumve (Nyambiti), Misungwi na Mwanza mjini.

Last edited by a moderator: