DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Vuta subira .Ndani ya masaa 48
Kiongozi huchukui jimbo kwa tikiti ya ACT? Tunakusubiri mwalimu
Vuta subira .Ndani ya masaa 48
Ataanzia kwa waganga wa jadi baadaye kwa wauza unga wenzake kinondoni.
Ataanzia kwa waganga wa jadi baadaye kwa wauza unga wenzake kinondoni.
Mwenye taarifa ya kumtambulisha mheshimiwa Edward Lowassa naomba atupatie . kama hajaanza kuzunguka mafuriko ndio haya yanawakumba watu kaskazini mpaka magharibi sipati picha mafuriko yatakuwa makubwa kiasi gani akianza kuzunguka nchi nzima.
Ataanzia kwa waganga wa jadi baadaye kwa wauza unga wenzake kinondoni.
Mimi nataka na ratiba ya zote nijiandae mapema.
Umehamia huku
Ataanzia kwa waganga wa jadi baadaye kwa wauza unga wenzake kinondoni.[/QUOT Utajiju!
Njia pekee ya kuongeza wafuliko ni kuhakikisha kila mwanachana unakuja na watu 5 au zaidi ili tuongeze kulaaa ! ucwaache vijana mtaani na watu wengine walio na muamko wa mabadiliko
Vuta subira .Ndani ya masaa 48