Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

itakuwa ni shida, itabidi barabara zipanuliwe, mimi nipo huku vilage kwetu nitakuwa tayari kumfata hata mjini ili mradi nami niungane na mafuriko
 
Mwenye taarifa ya kumtambulisha mheshimiwa Edward Lowassa naomba atupatie . kama hajaanza kuzunguka mafuriko ndio haya yanawakumba watu kaskazini mpaka magharibi sipati picha mafuriko yatakuwa makubwa kiasi gani akianza kuzunguka nchi nzima.

Nina imani,mkoa wa kwanza tu,atapigwa stop! Kisa,ANAFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA!! Kwa Magufuli aaaaaaaaah!!!!
 
Mwenye taarifa ya kumtambulisha mheshimiwa Edward Lowassa naomba atupatie . kama hajaanza kuzunguka mafuriko ndio haya yanawakumba watu kaskazini mpaka magharibi sipati picha mafuriko yatakuwa makubwa kiasi gani akianza kuzunguka nchi nzima.
Ataanzia kwa waganga wa jadi baadaye kwa wauza unga wenzake kinondoni.
 
Hata ka mboweeee hata jiudhuru ukawa hitabaki na nguvu hile hile mungu bariki ukawa.
 
Hatuhitaji kumtambulisha ili iweje?kuna asiyemjua? Hatuhitaji malori kusombea watu kumsindikiza watu wako njiani from monduli wanakuja kwa miguu
 
Back
Top Bottom