story love
Member
- Nov 24, 2025
- 7
- 12
π 5:00 β 6:00 AM β Amka mapema
π 6:00 β 7:00 AM β Mazoezi ya mwili
π 7:00 β 8:00 AM β Chakula cha asubuhi + kupanga siku
π 8:00 β 12:00 PM β Kazi / Shughuli zako
π 12:00 β 1:00 PM β Mlo wa mchana + pumziko
π 1:00 β 5:00 PM β Endelea na kazi / mipango
π 5:00 β 7:00 PM β Tiba ya mwili & akili
π 7:00 β 9:00 PM β Chakula cha usiku + reflection
π 9:00 β 10:00 PM β Jitulize kabla ya kulala
- Salat (kama unaswali)
- Omba au tafakari
- Tengeneza kitanda
- Maji ya uvuguvugu, limao au mazoezi ya kuvuta pumzi
π 6:00 β 7:00 AM β Mazoezi ya mwili
- Cardio / Pushups / Jogging
- Stretching
- Kuoga baridi (inaongeza testosterone)
π 7:00 β 8:00 AM β Chakula cha asubuhi + kupanga siku
- Kula afya: protini + matunda
- Andika mambo muhimu kufanya siku hiyo (goals 3 kuu)
π 8:00 β 12:00 PM β Kazi / Shughuli zako
- Fanya kwa bidii na kimya
- Usipoteze muda na simu / story zisizo na faida
π 12:00 β 1:00 PM β Mlo wa mchana + pumziko
- Muda wa kula + kuswali / kutulia
- Soma kitu cha kujenga akili (5β10 pages)
π 1:00 β 5:00 PM β Endelea na kazi / mipango
- Wekeza muda wako kwenye kitu cha maana
- Epuka gossip / drama
π 5:00 β 7:00 PM β Tiba ya mwili & akili
- Mazoezi ya jioni / meditation / kutembea
- Muda mdogo na familia / wapendwa
π 7:00 β 9:00 PM β Chakula cha usiku + reflection
- Kula mapema
- Kagua malengo ya siku
- Soma / tafakari / dua
π 9:00 β 10:00 PM β Jitulize kabla ya kulala
- Hakuna simu au screen
- Funga siku kwa utulivu
- Lala mapema (for 6β8 hrs)
- Usilalamike, tafuta suluhisho
- Kuwa na neno moja β usiwe mtu wa kusema uongo
- Jiheshimu, jihifadhi
- Jifunze kila siku
- Epuka kelele β kiume halilia kwa sauti, anatulia na kupambana πͺπΎ