... sio kutoa tu neno, bali Sheikh Ponda atasoma dua siku hiyo.Inaitwa Operesheni CHAKAZA....
Ombi kwa CHADEMA siku ya kufunga Kampeni Dar Sheikh Mponda ATOE NENO
Yaelekea upo Songea member! Kwa ratiba hii nahisi ataruka. Matarawe patabanaNimeiona Songea weweeeeeeeeeeeee
Kwasasa nipo Songea mkuu na tarehe hizo zitanikuta hapaYaelekea upo Songea member! Kwa ratiba hii nahisi ataruka. Matarawe patabana
Mbona alifika mapema wiki ya kwanza ya uzinduzi? Wakati anapiga kwenye kanda 10?Kwa nini Hakuhutubia Shinyanga mjini?
Ulikuwa wapi mkuu? Pale alipiga mkutano hatari sana wa kanda. Juzi alivyokuwa kanatoka Simiyu wananchi walimzuia pale mahakama ya mbuzi wakapiga show pale!Kwa nini Hakuhutubia Shinyanga mjini?
Kweli kabisa au basi awe anatumia muda mfupi sana asijeakavuruga ratiba. Iliniuma sana Kahama kufika tu na kuishia kusalimia!Tarh. 19 Mbona Ratiba ngumu sana, Nashauri dakika hizi za lala Salama Mheshimwa Rais apunguze kusimama kusalimia njiani, ratiba iko tight
Ntwala atapita tu kusalimia mkuu!Sasa kwetu "Ntwala" mbona siioni somooo?
Baaa.....afu we nkolofiiii😂