Hiyo Jumamosi ya Octoba 30 lazima watayarishwe manesi wengi wa kutoa huduma ya kwanza. Sio kwa umati mkubwa utakaofurika kwa Slaa tu, ila hata kwa viongozi wa CCM ambao wataweza kupata mshtuko.
Ni tumaini langu kwamba viongozi wa CHADEMA Dar wameshaanza mikutano ya kupanga hiyo siku. Itakuwa ni ya kihistoria. Na itafuatiwa na siku nyingine ya kihistoria Jumapili, siku ambayo TAIFA LA TANZANIA LITABADILISHA CHAMA TAWALA KWA MARA YA KWANZA!