Ratiba ya hukumu kesi za ubunge

Ratiba ya hukumu kesi za ubunge

Uamuzi wa kesi zote hizo umeisha fikiwa na mahakama zetu ila hukumu zimepelekwa UWT Makao Makuu ili watoe ushauri kwa Mkulu kabla ya kufanyiwa editing na kusomwa! Lazima Magamba watuumize katika hili ili upepo wa kuwakataa Mawaziri wezi upite haraka, tunaanze kujadili uchakachuaji wa kesi!!!
 
Pinda anahusika na kuhujumu kesi za ubunge hasa wa vyama vya upizani
 
Back
Top Bottom