Ratiba ya faragha chumbani

wengine hukutana wk ends tu ,siku nyingine ni kaz tu!

Umeonaeee! ratiba na njaa wapi na wapi, mm nafanya vibarua vya ujenzi wakati mwingine tunamilza kazi boss hajafik tunasubir tupew chetu(dayworker) narudi nyumbani saa 6 usiku natoka saa 11 asbh( usafri wa mbagala) ratiba ifuatwe na nani? hapa chakujali ni ratiba ya milo mitatu kwa siku mengine not reacheable try again leter.
 
Ratiba lazima niivunje, hii si haki kabisa
 
wenye ratiba zao wk end inawahusu! maana ndo wk end imeanza!
 

kitaalamu unatakiwa kugegeda kwa wiki isipungue mara tatu kwa kulinda ndoa yako sasa nyie wekeni izo ratiba mtachezea sharubu
 
Kama jitu lenyewe ndo full kutoa gem za nje akija home anadai kachoka bora kuwekeana ratiba na ikibidi kusain kabisaaa kuwa itafuatwa. Maana unaweza ambulia bila bila kila siku, si bora kuwekeane memorandum of understanding tu!
 
Mkataba wa nini bwana wewe sema umechoka muuza nyegere atafanya yake kwa mkeo upende usipende kwa styre hiyo kutafuniwa lazima
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1393617864.735357.jpg
    37.8 KB · Views: 112
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…