KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
- Thread starter
-
- #21
Kama kuna mapenzi ya dhati, hata kama mnatoka kazini mmechoka kiasi gani!!!! Kama kuna mahusiano mazuri hakuna ratiba ya kufanya mapenzi, kama mmojawapo amechoka basi ni kazi kumliwaza mwenzie kwa maneno na huba tamu kumsaidia mwenzie apate hisia, mkisikilizana na kupendana kwa dhati mapenzi hayana ratiba, na kama kila jambo mwafanya pamoja basi hata wakati wa kuoga mwaweza maliza mambo huko bafuni. Na kama mmoja anachelewa kurudi basi anaporejea nyumbani unaamka, unampokea kwa huba, maji ya kuoga, anakula kisha mwajongea kitandani, hata mkilala mmekumbatiana kwa upendo ni zaidi ya hilo tendo la ndoa.
hebu nisaidie kuisoma hii picha.. ina maana siku za katikati ya wili/ mwezi mtu anaweza kuwa na hot date so ana-reserve kwa huyo date wake?
Tendo la ndoa halina ratiba jombaa, ufanyaji wake unategemea hasa jinsi mnavyoishi!! Kama mnapendana, mnaelewana na mnapokuwa nyumbani mnaishi kimapenzi kweli (romantic) kama kuoga pamoja, kupika pamoja na vitu kama hivyo mtajikuta automatically mnalifanya mara kwa mara sababu ya ule ukaribu na kila mtu akafurahia sana!!
Ila kama mkirudi home kila mmoja na time yake mtajikuta mnakwenda kama kwa ratiba vile, siku tano hamjagusana na mkigusana leo mnakaa tena wiki so inakuwa kama karatiba fulani hivi.
Badilika ufaidi ndoa yako, amri zako kazini kwako nyumbani unakuwa mpolee na mkarimu kwa mwenza wako!!
Hii ni kalenda ya mzunguko wa siku za mwanamke. Kuanzia siku ya kwanza unpoona damu (Wengi wanasema kuingia mwezini) siku ya 14 ni siku ambayo yai linapevuka na wanawake wengi huwa wanakuwa sana na hamu ya kufanya mapenzi. Hii siku ni siku ambayo ukifanya tu, na mimba inaingia hivyo uwe makini. Hata hivyo kumbuka kuwa mbegu za kiume zinaweza kukaa mpaka masaa 72 hivyo mimba inaweza ikaingia kama ukido kuanzia siku ya 12. Na kwasababu yai la kike linakaa masaa 48 pia ukifanya siku ya 15 na 16 nayo kitu kitaingia. Hivyo kama mnatafuta mtoto hizo ni siku nzuri. La hamtafuti mtoto hizo siku mkicheza mtumie kinga au awithraw kama anaweza. Siku zingine mnaweza mkacheza mnavyotaka ila kwa watu wasafi zile siku nne za mwezini hawafanyi. Hapa ni kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 tu.
Jamaa yangu ning'ate sikio hapo bold....Hivi kama unaishi na mupenzi wako kama wafanyavyo vijana wakiwa vyuoni kwenye magheto mtaani lile tendo la kuunganisha viungo vyao vya uzazi linaitwaje????? Maana hawa hawajaoana na kuna asilimia nyingi hawataoana kwani hapa wanasaidia kupunguza makali ya bumu tuuuuuuuuuuu.
Hapo kwenye Bold, kwa kifupi siku nzuri ya faragha ya tendo kwa mwanamke ndo hiyo siku ya 14, ina maana wenzetu wana mzuka zaidi wa hamu siku moja tu ama!!!?
Kama sijakosea ni ngono! Maana tafsiri ya zinaa inanichanganya sana!!
Ita jina lolote lile ila wanachokifanya wote kinafanana. (wanatiana)
Hii ni kalenda ya mzunguko wa siku za mwanamke. Kuanzia siku ya kwanza unpoona damu (Wengi wanasema kuingia mwezini) siku ya 14 ni siku ambayo yai linapevuka na wanawake wengi huwa wanakuwa sana na hamu ya kufanya mapenzi. Hii siku ni siku ambayo ukifanya tu, na mimba inaingia hivyo uwe makini. Hata hivyo kumbuka kuwa mbegu za kiume zinaweza kukaa mpaka masaa 72 hivyo mimba inaweza ikaingia kama ukido kuanzia siku ya 12. Na kwasababu yai la kike linakaa masaa 48 pia ukifanya siku ya 15 na 16 nayo kitu kitaingia. Hivyo kama mnatafuta mtoto hizo ni siku nzuri. La hamtafuti mtoto hizo siku mkicheza mtumie kinga au awithraw kama anaweza. Siku zingine mnaweza mkacheza mnavyotaka ila kwa watu wasafi zile siku nne za mwezini hawafanyi. Hapa ni kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 tu.
Havifanani kwa sababu kimoja kina baraka (kwa wanandoa) kingine hakina baraka!! Ni tofauti kubwa sana hiyo
MKUU your REP POWER imemzidi adi mwasisi wa JF..lolaisee.....