Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

Bunge litaendelea leo saa tano wenye umeme angalien hapa nilipo wamechukua umeme wao hao wezi
 
Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi punde.

Asante
Duh, nime tune Radio one nasikia tu methali za watotot, nakimbilia Arushamambo nako kuna mziki wa Bango toka Mombasa! Leo radio one hawatangazi?
 
mm namsubiri MKULU akishatua leo kama atakuwa na jipya hasa ktk ile hotuba yake ya mwisho wa mwezi

kwa sauti ya jk,hivi ndivyo atakavyo wahadaa watz: "..ni kweli kwamba swala hili limetutia aibu kitaifa na kimataifa......nchi hii ni nchi inayofata utawala wa sheria na utawala bora......serikali itaunda tume ya uchunguzi kubaini ni wapi kulikuwa na tatizo lililopelekea haya yatokee......hatuwezi kuwakumu watuhimiwa kwa tuhuma bila ushahidi.....tuiache tume afanye kazi yake.......".

huyo ndie le profeseri jk.mengine jaza mwenyewe.
 
Bora liishe hii adhabu yakukata umeme wanayotupa ili tusione bunge itaatuathiri sana!Wengine kazi zetu welding !
 
Duh, nime tune Radio one nasikia tu methali za watotot, nakimbilia Arushamambo nako kuna mziki wa Bango toka Mombasa! Leo radio one hawatangazi?

mie ni RTD ya zamani wanaendelea na yao. ngoja tusubiri saa tano
 
Jamani mnakosa mambo ya muhimu katika maisha,redio za mchina zimejaa kibao kwa buku mbili mbili au hata simu ya mchina huna???tafuteni haraka haya mafisadi papa yana nguvu ya kuiamrisha Tanesco kuzima umeme hata nchi nzima ili mkose mjadala.
Kwetu wameshakata umeme...bora bunge liishe maana huyu muongo anatuweka giza all the time.
 
No sema Professa wa kichina JK
kwa sauti ya jk,hivi ndivyo atakavyo wahadaa watz: "..ni kweli kwamba swala hili limetutia aibu kitaifa na kimataifa......nchi hii ni nchi inayofata utawala wa sheria na utawala bora......serikali itaunda tume ya uchunguzi kubaini ni wapi kulikuwa na tatizo lililopelekea haya yatokee......hatuwezi kuwakumu watuhimiwa kwa tuhuma bila ushahidi.....tuiache tume afanye kazi yake.......".

huyo ndie le profeseri jk.mengine jaza mwenyewe.
 
TETESI: MSHONO wa PROFESA UMEFUMUKA BAADA YA BUNGE LA JANA

siku ile ulivyo nipiga dongo eti "kumbe tv za chogo bado zipo" nikajua we ni mtu wa aina gani na hapa ndio nakamilisha doubt yangu kwako.
 
kwa sauti ya jk,hivi ndivyo atakavyo wahadaa watz: "..ni kweli kwamba swala hili limetutia aibu kitaifa na kimataifa......nchi hii ni nchi inayofata utawala wa sheria na utawala bora......serikali itaunda tume ya uchunguzi kubaini ni wapi kulikuwa na tatizo lililopelekea haya yatokee......hatuwezi kuwakumu watuhimiwa kwa tuhuma bila ushahidi.....tuiache tume afanye kazi yake.......".

huyo ndie le profeseri jk.mengine jaza mwenyewe.

mkuu kama umeingia akilini mwangu vilee
 
Tunataka kujua leo kikao kinaendelea au bunge limemalizika kihivyo? naomba walioko bungeni au mamlaka watujuze.kama mambo yameisha tumefanye mambo mengine maana tangu novemba 26 tuko dodoma kifkra nk.

wahusika tafadhali tupatie ratiba mpya kama ipo

UPDATES
Bunge limharishwa tena litarejea saa 5 asubuhi ya leo

Wameenda kupumzika manake jana sidhani kama ccm kuna mtu alipata usingizi sanasana kuota ndoto za maruweruwe tu.
 
In retrospect kitendo cha Lowassa kujiuzulu lilikuwa jambo la kuigwa . Leo tunashuhudia majizi caught red handed yana kejeli bunge hadi kufikia kupanga hukumu! Heshima na hadhi ya bunge ipo wapi?
 
Kuwapa nafasi watuhumiwa wa PAC wachangie katika mapendekezo ya BUNGE ni kama kuwapa nafasi ya kujitetea kitu ambacho tafsiri yake ni kutaka kuwahukumu kitu ambacho bunge haliwezi , nionacho mimi ni kwamba wale watuhumiwa walotajwa kwenye ripoti ya PAC wasingeruhusiwa kuingia kwenye huu mjadala ili watu wawe huru kuchangia mapendekezo..

Tatizo lilikuwa ni kuwaruhusu kushiriki ktk Maazimio ya Bunge. Spika alitakiwa awatoe nje wale wote walio tajwa kuchukuliwa hatua za kimaadili,kiuchunguzi na kisheria. Hata hivyo kwa maoni yangu bado mama Makinda alifanya kazi nzuri,hili kosa alisahihishe leo.

Kwa upande wa watuhumiwa wajiondoe,wasiendelee kuharibu muda na kodi za Watanzania kwa matamanio yao binafsi. Kama hawataki aliye wateua afute uteuzi wao mara moja. Wamelisababishia taifa hasara kubwa na bado wanaendeleza ubishi mwingine.
 
Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi punde.

Asante

TBC wanaonesha katuni.
 
Back
Top Bottom