Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
514
Reaction score
240
Tunataka kujua leo kikao kinaendelea au bunge limemalizika kihivyo? naomba walioko bungeni au mamlaka watujuze.kama mambo yameisha tumefanye mambo mengine maana tangu novemba 26 tuko dodoma kifkra nk.

wahusika tafadhali tupatie ratiba mpya kama ipo

Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi punde.

Asante

UPDATES

Bunge Limehairishwa tena litarejea saa 10 jioni

Bunge limharishwa tena litarejea saa 5 asubuhi ya leo

UP
 
Vikao vya usiku vya ccm vimeshindwa kuamua cha kufanya baada ya aibu ya jana ya kuonekana kuwatetea wezi ...tena kuwapa nafasi wezi wajitengenezeea maazimio ya kujihukumu...aibu sana
 
mm namsubiri MKULU akishatua leo kama atakuwa na jipya hasa ktk ile hotuba yake ya mwisho wa mwezi
 
Vikao vya usiku vya ccm vimeshindwa kuamua cha kufanya baada ya aibu ya jana ya kuonekana kuwatetea wezi ...tena kuwapa nafasi wezi wajitengenezeea maazimio ya kujihukumu...aibu sana

ccm ni janga la kitaifa,kweli watu wameiba badala ya kuchukuliwa hatua halafu majitu yanatetea ujinga,jana yameumbuka safi sana.ulimwengu umejua kuwa makinda ni dikteta
 
ImageUploadedByJamiiForums1417237833.313120.jpg . Mizengwe imeanza kupinda Ndio assistance kwa sim aaa alokula ngombe
 
Vikao vya usiku vya ccm vimeshindwa kuamua cha kufanya baada ya aibu ya jana ya kuonekana kuwatetea wezi ...tena kuwapa nafasi wezi wajitengenezeea maazimio ya kujihukumu...aibu sana

Waendelee kulinda wezi wao.....vyama vya upinzani vipate credit kwa hili!am so tired na hawa majambazi.....nimechoshwa na huu ukoo wa panya
 
Yaani makinda kweli ni kinda shame on her kwa kutetea wiziii
 
Kuwapa nafasi watuhumiwa wa PAC wachangie katika mapendekezo ya BUNGE ni kama kuwapa nafasi ya kujitetea kitu ambacho tafsiri yake ni kutaka kuwahukumu kitu ambacho bunge haliwezi , nionacho mimi ni kwamba wale watuhumiwa walotajwa kwenye ripoti ya PAC wasingeruhusiwa kuingia kwenye huu mjadala ili watu wawe huru kuchangia mapendekezo..
 
Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi punde.

Asante
 
Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi punde.

Asante

Shukrani. ngoja nijiandae kutazama ngumi na hatma ya Muhongo a.k.a muongo
 
ngoma ndo imetoka hivyo, hawa watu wanatufanya watanzania midori
 
Limehairishwa tena hadi saa 5 asubuhi
 
Rasmi-Bunge litarejea na vikao vyake leo jumamosi kuanzia saa 3:00 Asubuhi baada ya kuvunjika jana usiku.Litaendelea na mjadala wa Escrow.Taarifa ya Bunge imetangazwa hivi punde.

Asante

Kwetu wameshakata umeme...bora bunge liishe maana huyu muongo anatuweka giza all the time.
 
Back
Top Bottom