Manara umeanza kuwa na dalili za kuyumba ktk uotaji wa taarifa zako. Unatumia nguvu nyingi, hasira zisizo na sababu za msingi wowote, unajibu kwa dharau waandishi hata kama na wap wana maswali ya kitoto wakati mwingine.
Umeanza kuonesha dalili zote za yule msemaji aliyefungiwa kwa kuleta maneno yasiyo ya kiungwana michezoni.
Yule nilimwonya kupitia jamii forums hii hii nikisema asaidiwe, watu wakapuuza, sasa anaisoma namba na washabiki wake wameshamsahau. Narudia kwako pia nakupa angalizo, acha sifa, fanya kazi, punguza povu. Una potential kubwa na bahati nzuri wewe ni mwanamichezo, wenyewe mnajiita watu wa mpira. Kuwa mwangalifu bro!!