Ratiba LigiKuu mzunguko wa pili, manara ahaidi kutembea "Uchi".

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,224
15,075
Ratiba ya mzunguko wa 2 Wa ligi kuu bara imetoka, haji manara kapigiwa simu na kituo maarufu cha mochezo cha redioni, kasema

"TFF wasipofanya mabadiliko ndani ya mwezi atatembea uchi"
 
Ratiba ya mzunguko wa 2 Wa ligi kuu bara imetoka, haji manara kapigiwa simu na kituo maarufu cha mochezo cha redioni, kasema

"TFF wasipofanya mabadiliko ndani ya mwezi atatembea uchi"
Anataka tuone makalio yake?
 
Ratiba ya mzunguko wa 2 Wa ligi kuu bara imetoka, haji manara kapigiwa simu na kituo maarufu cha mochezo cha redioni, kasema

"TFF wasipofanya mabadiliko ndani ya mwezi atatembea uchi"

Mkuu mimi nawaza tu hiyo signature yako hiyo
 
Huna taarifa kuwa alitoka milembe? Atakuwa anarudia tu kazi yake ya zamani, haina shida
 
Manara umeanza kuwa na dalili za kuyumba ktk uotaji wa taarifa zako. Unatumia nguvu nyingi, hasira zisizo na sababu za msingi wowote, unajibu kwa dharau waandishi hata kama na wap wana maswali ya kitoto wakati mwingine.

Umeanza kuonesha dalili zote za yule msemaji aliyefungiwa kwa kuleta maneno yasiyo ya kiungwana michezoni.

Yule nilimwonya kupitia jamii forums hii hii nikisema asaidiwe, watu wakapuuza, sasa anaisoma namba na washabiki wake wameshamsahau. Narudia kwako pia nakupa angalizo, acha sifa, fanya kazi, punguza povu. Una potential kubwa na bahati nzuri wewe ni mwanamichezo, wenyewe mnajiita watu wa mpira. Kuwa mwangalifu bro!!
 
Huwa akiongea kama ananyanyuka yani jamaa anapumzi sana inaonekana ukimchanganya kidogo anaweza kufanya jambo la ajabu sana
 
Ratiba ya mzunguko wa 2 Wa ligi kuu bara imetoka, haji manara kapigiwa simu na kituo maarufu cha mochezo cha redioni, kasema

"TFF wasipofanya mabadiliko ndani ya mwezi atatembea uchi"
Kwa nini umeweka quotation marks afu ukatumia neno ATATEMBEA?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom