Rate the Game?

Rate the Game?

smayragrace

New Member
Joined
May 27, 2012
Posts
4
Reaction score
1
hello Friends, Rate the Game Battlefield 3... I wanna give it 8/10 so what about You Guys?
 
Acheni kumdisapointi mwenzenu, huyu alikuja mwanzo humu akidai yeye ni mpenzi wa video games, nadhani leo ameanza kuirate hii game yake. Binafsi sio mpenzi wa haya makitu, wanaopenda waanze kufunguka.
 
bora umeliona hilo na hiyo mijamaa inalijua hilo..
 
Mkuu naomba uheshimu ndoa yangu, kumwita mama mkwa wangu mjamaa sio mpango wala nini, labda hilo lijitu lengine.

hahahahahaha yan umenfanya nmetoka bed.!!! dah kwel hapo inabid umpoze ma mkwe ata na kret ya xoda..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom