Ratco na tanga beach resort

Ratco na tanga beach resort

dionsio

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
169
Reaction score
29
Ukwel ni upi, kwamba kampuni ya usafirishaji abiri na mizigo ya ratco tanga na tanga beach resort ni mali ya riziwani au baba yake? Ni kwel barabara ya kutoka duga mwemben hadi tanga beach imetengenezwa maalum kwa ajl ya kupeleka wageni tanga beach?
 
Ratco ni zake kabisa ritzmocko hadi na post ujumbe huu niko ndaní ya Ratco maeneo ya michenzani tunaelekea Tanga mimi ni konda wake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
I know ze Hotel.
Its real a nice place to spend some extra bobs!
Hii nchi bana.
 
Mohammed Mtoi anaweza kuwa na jibu zuri zaidi tusubiri aje!
 
Nlisikiaga kuhusu Tanga beach kua ni yake,na Ratco inaweza kua yake...lisemwalo lipo...mh wana vitu vya ukwee wenyewe akat watanzania wengne hawana uhakika wa chakula cha mchana
 
Hata kwenye kupata TLB Rizi alisimama sana..hata hivyo kuna bwana mmoja Mohamed Kifaranga ndio top pale..kwa upande wa huduma Ratco wako poa..full kipupwe mwanzo mwisho.
 
Ratco ni zake kabisa ritzmocko hadi na post ujumbe huu niko ndaní ya Ratco maeneo ya michenzani tunaelekea Tanga mimi ni konda wake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nauli sh ngapi
 
So humo ndani ya basi wanatangaza ni kampuni ya riz?
Ratco ni zake kabisa ritzmocko hadi na post ujumbe huu niko ndaní ya Ratco maeneo ya michenzani tunaelekea Tanga mimi ni konda wake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukwel ni upi, kwamba kampuni ya usafirishaji abiri na mizigo ya ratco tanga na tanga beach resort ni mali ya riziwani au baba yake? Ni kwel barabara ya kutoka duga mwemben hadi tanga beach imetengenezwa maalum kwa ajl ya kupeleka wageni tanga beach?

Naona wanachelewa sana kuja kujibu. Basi acha niwajibie, ni kweli kabisa ni mali zao kabisaaaaaa!!!!
 
Sina shida ya kujua Beach Resort ni ya nani shida yangu iko kwenye management ya hotel na wafanyakazi wale mburula wasijua jini maana ya custom care na hotel management

Kwa wale wanaoijua ile hotel counter iko mbali na beach ni kama mita mia hv, lakini ukiagiza kinywaji kinafunguliwa huko huko counter na kinaletwa wazimu bila hata kufunikwa chochote... ukihoji unaonekana mkorofi au mshamba...wahudumu wana lugha za nyodo na majibu ya kicenge mno...wanafikiri kufanya kazi pale basi they r on top of the world...I hate the place

With Ratco huduma ni nzuri kwakweli big up to them
 
Poa Dogo Riz Endelea Kuleta Changamoto. Umeipata Nafasi Itumie Tu Wanaosema Na Nawasema, Ratco Ipo Juu Bila Wewe Tungeipandia Wapi!
 
Kwanni munapenda kujua umiliki wa mali za watu huo sio ujinga fanya kazi kwa bidii na wewe upate zako ndio zitakasaida sio kujua umiiliki utakusaidia nni.? Kila biashara inyopendeza ni ya rz ivi hakuna wa tz wenye uwezo wa kumiliki vizuri zaidi ya rz? Mwisho mutatuambia wale chabgu wanaojiuza pale shekilango rd na kimboka buguruni ni wa rz . Acheni unjinga mungu hayupo kwa ajili ya rz pekee fanya kazi mtt.
 
Naona wanachelewa sana kuja kujibu. Basi acha niwajibie, ni kweli kabisa ni mali zao kabisaaaaaa!!!!
Tatizo ni nini???????,,!!!!, haruhusiwi kumiliki vitega uchumi?. Kaanzisheni vyenu, acheni majungu
 
nauli sh ngapi

Elf 18 Ila kiukweli jamaa wanajitahidi kwa Huduma na hasa kwenye issue ya muda wanajali sana! Hayo mengine cjui mmiliki nani watajua wenyewe Manake NCH hii ili uwe na AMANI japo kdg! achakufuatilia maisha ya wakubwa manake Utakuta wee huna ht HELA ya PANADOL viongozi wanaoishi kwa KODI yako wanaHONGA madem MELI,,,!
 
Back
Top Bottom