Serikalini huwezi kabisa kuajiriwa ukiwa na rast kama wewe ni mwanaume, na hata kwenye makampuni mengi binafsi huwezi tena kwenye hiyo field yako ya hr. labda kwenye mambo ya model.
Kwa hapa tanzania wufuga rasta wanaonekena wavutabangi hata kama sio wote.
Nakushauri kama unataka ajira Serikalini ondoa hizo rasta zako. Manake naamini kabisa katika hakuna hata mtumishi mwanaume hata mmoja wa Serikali ya Tanzania ambaye anarasta.