Sijawahi kusikia watoto wake kweli
Mlimuchafua magufiri kwa vitu visivyokuwepo
Yupo binti wa Sumaye.hivi sumaye ana watoto?
Wanafanya kazi benk kuuhivi sumaye ana watoto?
Hajafanikiwa kumpitisha mwanaye bila kupingwa?SUmaye mwanaye yupo katokea jimbo la Hanangu anaitwa fred anapambana na mary nagu
Tsar JK ndiyo kashika mpini, waliobaki wote wanaufyata.Hili jambo la familia ya jk kupita bila kupingwa lina fikirisha sana kwa ulimwengu wa watu ambao wapo sensible kichwani.
Chadomo ni familia ya kibaraka Lisu baada ya kumpora sultan Mbowe.Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
Marafiki na familia sindikizaji
- Familia ya Samia
- Familia ya Kikwete
- Familia ya Mwinyi
Familia zilizoachwa za
- Familia ya Pinda
- Familia ya Lowassa
- Familia ya Magufuli
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa
Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.
Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
Mmja ni meneja kampuni ya Uranium aliyozindua Rais juzi ya Mantra Tanzania.hivi sumaye ana watoto?
Kabla ya Hilo Bunge Rais hakukopa?
Kuna Kigwangalla na mkewe pia
Kabla ya Hilo Bunge Rais hakukopa?