Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,794
- 5,898
Hahahaha humu Niko poa Sina shida na mtu. Hata hivyo Kuna tarakimu tatu hazipo kati ya kumi. Ili unibaini inabidi ufanye majaribibio zaidi ya 200 ya kujua full NAMBA kitu ambacho inabidi itumike akili ambayo ni bidhaa adimu kwa mtumiaji wa nguvu.yaani hapo unaamini umeficha namba yako kabisaaa!!!
umeweka urahisi wa kubakiza baada ya pili kabla ya ya tano ni zipi hizo mbili.
nimeifuta nimekunukuuga ujiongeze labda kama upo poa humu no mdomo
end to end "encrypted" wewe unaielewaje, maana naona kama ulitaka kuitafsiri tofautiUsininukuu vibaya Mkuu jiongeze
Nchi inaongozwa KIJESHINi wiki ya pili sasa tangu nilipoona changamoto ya kufeli kwa RCSmessages,nikajua labda ni shida ha mtandao,ila inavyoonekana hawa YAS wameipiga pin,sijajua kwa upande wa Vodacom na Airtel.
Hapa ni rasmi YAS wameamua kupiga pin
Ficha namba mkuu
Namba yako nimebakiza mbili tu za baada ya 07**6Hahahaha humu Niko poa Sina shida na mtu. Hata hivyo Kuna tarakimu tatu hazipo kati ya kumi. Ili unibaini inabidi ufanye majaribibio zaidi ya 200 ya kujua full NAMBA kitu ambacho inabidi itumike akili ambayo ni bidhaa adimu kwa mtumiaji wa nguvu.
Sina shida ndio maana nikaacha open hivyo, ningweza hata kuacha NAMBA nzima maana Sina shida na walimwengu.Namba yako nimebakiza mbili tu za baada ya 07**6
tulia hapo.. badala uchukulie nimekufungua uwe kismati.. unadai eti mara 200 😆 eendelea kuota
na ujue ndio akili umesema zinatumika kwa jambo rahisi umejidaiiii eeeh .. furahia uwepo wako humu kama kawa...
ciao