Rasmi : Prof. Joyce Kiria (PhD), Lucent University, UK

Rasmi : Prof. Joyce Kiria (PhD), Lucent University, UK

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,552
Reaction score
40,430
Yule mtangazaji nguli na mwanaharakati duniani Joyce Kiria ametunukiwa PhD na sasa ni rasmi anatambulika duniani kama Full Professor Joyce Kiria (PhD).

Prof Kiria (PhD) ametoa wito wakati wa Mahafali kuwa wanwake wanaweza. Niffer tayari ameanza mipango ya kumpokea pindi atakaporejea nchini

 
Ni majanga tupu

1795292656981.png
 
Yule mtangazaji nguli na mwanaharakati duniani Joyce Kiria ametunukiwa PhD na sasa ni rasmi anatambulika duniani kama Full Professor Joyce Kiria (PhD).

Prof Kiria (PhD) ametoa wito wakati wa Mahafali kuwa wanwake wanaweza. Niffer tayari ameanza mipango ya kumpokea pindi atakaporejea nchini
Una haraka ya nini kiasi hiki hadi ujionyeshe usivyojuwa taratibu. Huyo Joyce unaye uhusiano gani, au siku hizi machawa kama wale wa Samia na hadi akina Kafulila ni mitaji?

Tueleze, huko kutunukiwa kwake Ph.D. kunahusiana vipi na kupata huo u-profesa, unaelewa unachokiandika, au, basi tu ni kwa vile Tanzania siku hizi tunajiamria tu kutambua mambo kivyetu tu, bila kujali taratibu za kidunia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom