Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
💭 Kampuni ya Microsoft ambayo mwaka 2003 iliweza kuitambulisha mtandao wa Skype makao yake makuu yalikua Luxembourg ambapo baada ya miaka 22 ya huduma inazimwa ramsi.
💥 Tarehe 5 May 2025 Mtandao wa Skype utaweza kuzimwa Rasmi ambao kipindi icho ilikua kama ndo Whatsapp watu wengi maofisini na majumbani walikua wanawasiliana kwa njia ya intaneti kupitia Skype.
🌍 Mtandao wa Skype ambao kwa Mwezi unawatumiaji takribani milioni 150, lakini imeshindwa kushindana na Teams na zoom ambazo zinashika Kasi sana kutumiwa ulimwenguni.
💡 Chati zote zilizokuwepo kwenye app ya Skype zitaweza kuhamishiwa kwenye app ya Teams ambayo Microsoft ndo wanaitumia sasa kama mshindani wa Zoom.
Umeshawahi kutumia mtandao wa Skype au ndo unasikia ??