Rasmi Lissu ni baba wa taifa

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,926
Reaction score
179,363
Kwa mikono yao sisiem sasa ni rasmi Lissu ni baba wa taifa.

Sisiem wamempa ufalme mheshimiwa Lissu kwa kishindo sana πŸ˜…

Nilipo ona ile cream ya watu wenye akili timamu hapo mbogamboga inapigwa vita nilijua hawa nyumbu kwisha habari yao😊
 
Mimi namkubali Lissu, hili la kuwa Baba wa taifa kwangu hapana.
Labda huko chadema mumpe ubaba wa chadema.
Lissu abaki na heshima yake ya kupambania haki.
 
Lissu nakwenda kuwa shujaa, na mboga mboga hili picha wamelikamilisha wao
Lissu tayari ni shujaa, Leo mahakama kumefanyika Jambo la kihistoria.
Lissu kapewa kesi hapohapo ya uchochezi na bila hata kesi ya uchochezi kusikilizwa akahukumiwa.
Hii ni historia kwenye hukumu za mahakama hapa tz na duniani kwa ujumla.
 
Mimi namkubali Lissu, hili la kuwa Baba wa taifa kwangu hapana.
Labda huko chadema mumpe ubaba wa chadema.
Lissu abaki na heshima yake ya kupambania haki.
Unataka kusema baba wa taifa ni nani sasa unadhani mchonga meno angepitia hekaheka hizi angeshikilia bomba?
 
Mimi namkubali Lissu, hili la kuwa Baba wa taifa kwangu hapana.
Labda huko chadema mumpe ubaba wa chadema.
Lissu abaki na heshima yake ya kupambania haki.

Kwani definition ya β€œbaba wa taifa” ni nini? Just curious
 
Kwani definition ya β€œbaba wa taifa” ni nini? Just curious
Inategemea unaongelea taifa gani .
Kama ni Tanzania Baba wa taifa ni hayati Mwl JK Nyerere.
Sasa wewe unayekurupuka na kusema Lissu ni Baba wa taifa unafiki Nyerere alipewa ubaba wa taifa humu kwenye mitandao na keyboard worrier mmoja?
 
Nyerere ana kipi cha kumshinda lisssu?
 
Nimesema Nyerere hakupewa ubaba wa taifa na keyboard worrier mmoja humu JF na akawa Baba wa taifa.
Kama wewe unampa Tundu Lissu ubaba wa taifa wewe mpe. Huo ni ubaba wa taifa wa humu JF tuu.
Uzuri mmoja kizazi cha sasa kina ona umuhimu wa lissu na wa Nyerere kwa maslai ya sasa
 
Inategemea unaongelea taifa gani .
Kama ni Tanzania Baba wa taifa ni hayati Mwl JK Nyerere.
Sasa wewe unayekurupuka na kusema Lissu ni Baba wa taifa unafiki Nyerere alipewa ubaba wa taifa humu kwenye mitandao na keyboard worrier mmoja?

Sijali alipewa na nani nataka kujua vigezo tu mkuu, zingatia sijasema mie ila nataka kujua qualifications za ubaba wa taifa! Is it perception, age, utawala, mbegu nyingi, usisiemu mkubwa, etc, why yeye?
 
Hii katiba yetu ambayo Mimi naona ina mapungufu kwa 99% kama alihusika kuiandaa kwa lengo la kulinda cheo basi Nyerere tunamvua cheo cha baba wa Taifa ataitwa baba wa mabumunda.

Cheo anapewa Lissu MTU mwenye akili kuwahi kutokea tangu Tangayika iundwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…