Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

Hiki chama ni zaidi ya chama cha siasa.

Wale makomandoo ni makomandoo kweli kweli.
 
Nenda kadeki choo Lumumba. Kwa huyo bitozo zaidi ya kupewa makavu na Lisu Brussels hakuna mwana CHADEMA aliyejihangaisha na Hangaya.

Akili zako zimeishia hapo sio kosa lako,
 
Leo ataipiga hatari sana,lakini yote kwa yote mbowe sio gaidi,lakini kumbe hawa ccm wanaweza kukufunga tu kwa chuki zao binafisi mungu ni mwema.
Mungu ni mwema sana
 
Kwani wakwanza kuwekwa ndani ni Mbowe?enzi za mwalimu aliwekwa Mapalala leo yupo wapi na chama chake?,Mkapa alimuweka Maalimu leo yupo wapi na chama chake?au ulikuwa mtoto!
 
Limewashuka. Mlitaka aombe msahama wakati hana kosa? Halafu baadae mkajidanya mnamwonea huruma? Mungu amewaumbua wanafiki

Zaman mngetishia kuandamana Ila Kwa sasa hakuna kitu mnaweza kutishia,

Mwenyekiti amekaa jela miezi nane mko Tu mnaandika na kulialia hapa

Leo kaonewa huruma na kutoka baada ya maombi ya walio wengi mnaanza kujiona nyie ni washindi

Watu wa ajabu Sana nyie
 
Kibatala hajawahi kushindwa na mbinu za mabazazi

Chaggadema, kwa kauli hizi mnazoendeleza miaka na miaka mpaka now msahau kushika nchi. Hakuna mjinga atakaekubali kuongozwa na mtu from NORTH. sawa sawa mami!! Ujiku mwaka nkoi, tolehoi kanda ya ziwa.
 

Hawa jamaa wana viburi sana. Na ndiomaana kila mwaka wanaangukia pua. Cjui mjinga gani atashawishika chadema iliongoze taifa 😁 never
 
Chaggadema, kwa kauli hizi mnazoendeleza miaka na miaka mpaka now msahau kushika nchi. Hakuna mjinga atakaekubali kuongozwa na mtu from NORTH. sawa sawa mami!! Ujiku mwaka nkoi, tolehoi kanda ya ziwa.
Wewe mwenyewe ni mjinga tu
 
Hawa jamaa wana viburi sana. Na ndiomaana kila mwaka wanaangukia pua. Cjui mjinga gani atashawishika chadema iliongoze taifa [emoji16] never
Wewe mwenyewe ni mjinga fulani tu
 
Wameshavurugwa sasa hivi hasa wale wote sukuma gang

Wasukuma wanajitambuwa bwana,,unafikiri wakaskazini hao ingawa co wote.


Tuko nyuma ya mama mwenye imani na huruma kwa wananchi wake.

Olemala jisukuma mzehe?

Ujiku mwaka nkoi, tolehoi kanda ya ziwa.
 
Wasukuma wanajitambuwa bwana,,unafikiri wakaskazini hao ingawa co wote.


Tuko nyuma ya mama mwenye imani na huruma kwa wananchi wake.

Olemala jisukuma mzehe?

Ujiku mwaka nkoi, tolehoi kanda ya ziwa.
Mtajikomba sana kwa mama wa kizenji lkn hana mpango na nyinyi washenzi
 
MaCCM yakijaribu ku-overtake Chadema😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
MaCCM yakijaribu kupambana na Chadema👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…