Wapuuzi kama Bashite,Safi sana Mama! legacy wakati wengine walibaguliwa sana nchi hii walionekana kana kwamba siyo Watanzania, ukanda,ukabila na undugu ndiyo ulishamili nchii. Wengine tulikuwa kama siyo watanzania
Msomi?
India wasingekufa kama barakoa dawa au kinga
Wao mpaka chanjo tayar Leo kuna nyymbu watasema chanjo dawa hawajiuliz why India inakufa
ache upuuzi ,mbona tunatumia mosquito net na bado watu wanakufa kwa malaria?nyie ndio mliolishwa sumu kuwa hakuna Corona ila ukweli utabaki pale pale Corona ipo na inaua na hata Watanzania wapo waliopuuza na wamekufaMsomi?
India wasingekufa kama barakoa dawa au kinga
Wao mpaka chanjo tayar Leo kuna nyymbu watasema chanjo dawa hawajiuliz why India inakufa
Legancy haipigiwi kelele Mkuu,Mama anaishi kama ambavyo mataifa yote duniani yanafanya kila liwezwkanalo kujikinga na Corona,wewe enedelea kumfuatilia mama hutafanikiwa kwa kuwa mama ndiye Rais na anayo support ya Watanzania wote wenye Akili timamu .Wewe unaona barakoa tuuu, siyo!??? Kweli upofu ni gharama sana. Bi Mkubwa anachefuliwa sana na maendeleo aliyofanya JPM. Kila aamkapo asubuhi anatafuta mbinu na kiki za kuyafutilia mbali. Ndiyo sababu ya mahangaiko na kujikosha na kujichosha kooote huko. Najiuliza tu, hivi utamfutaje mtu na legacy yake Tanzania tu wakati amejaa Afrika na duniani kote!???
Hawezi kukuelewa huyo. Wamekariri tuuu ^Mama^ ^Mama^ ^Mama^ mpaka wamepofuka akili kumkichwa
Legacy ndio nini ? Embu tufafanulie kwa maana pa tuliamishwa kuwa mapapai yana virusiLegacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu mwenyewe. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja-mikono na wapinzani wa ndani kwa ndani.
Hii ndio Legacy inapiganiwa na wapuuzi kama Gwajima na kundi lakeSafi sana Mama! legacy wakati wengine walibaguliwa sana nchi hii walionekana kana kwamba siyo Watanzania, ukanda,ukabila na undugu ndiyo ulishamili nchii. Wengine tulikuwa kama siyo watanzania
Tunapojadili tupunguze uongo kuzipa uzito hoja. India ni asilimia 11.5 tu ndio wamechanjwa. Hiyo asilimia haitoshi kusema kama hiyo chanjo imewafaa au la. Kitaalamu inatakiwa ifike 70%Msomi?
India wasingekufa kama barakoa dawa au kinga
Wao mpaka chanjo tayar Leo kuna nyymbu watasema chanjo dawa hawajiuliz why India inakufa
Conc. H2SO4 na bleach wapi na wapi ?! Kemia hujui.Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu mwenyewe. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja-mikono na wapinzani wa ndani kwa ndani.
Mmemuua kwa kusingizia corona, sasa mbina baada ya kufa yeye watu mkiokua mnawatoa kafala hawafi tena?Ubishi wa Magufuli ulipelekea yeye mwenyewe kufa
Hebu acheni uongo, kuna wakati nafsi ziwasute aseee, mlinzi mliyemshadidia kafa siye huyo unayetaka kuaminisha umma hapa bali ni yule poti mweusi na picha mkatumiana kama sherehe although baadaye mlikuja kudhalilika baada ya kuonekana pale St. Peter kanisani.Mlinzi wa usiku kule Chato mbona alishazikwa siku nyingi
Matokeo yake Corona ikasepa nayeMagufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Basi kama vp arudi mtangulizi. OVERMama hamna kitu. Soon tu
Bora arud mtangulizi au nasema uongo ndugu yang!! 🤣🤣🤣🤣Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Hajui kwamba mbu kukuambukiza malaria sio lazima akukute kitandani,hata sebuleni.Ila wewe jamaa BWEGE sana.
Hivyo kwakuwa watu wanaugua malaria pamoja na kutumia vyandarua kwa akili yako utasema VYANDARUA HAVIZUII MTU KUPATA MALARIA
Legacy ya Magufuli ni katiba ya nchi?Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Tumia akili zako vizuri.aliyekwambia barakoa inamfanya mtu asife ni nani,hiyo ni kifaa cha kusaidia kupunguza maambukizi na swala sio kuvaa tu bila kuchukua tahadhari za matumizi yake.Sasa una hakika gani kua hao wahindi wanavaa hizo barakoa kwa kuzingatia taratibu?.Kifo kipo tu lakini linapokuja swala la kuchukua tahadhari ya jambo muhimu ni vyema tukaacha ujinga.Barakoa ingekuwa inaokoa India wasingekufa kwa wingi kiasi hicho, ni wavaaji wazuri wa barakoa!! Magufuli alitufanya tumtegemee Mungu kuliko barakoa!! Na Mungu alituponya na kutukinga! Kupanga ni kuchagua, ukichagua kutegemea barakoa zaidi ni uamuzi wako! Magufuli hakuzuia barakoa lakini hakuziamini barakoa za nje, alihimiza barakoa za kujishonea.
Unaelewa nini unapoambiwa uchuke tahadhari?au umekalia ujinga tu.Msomi?
India wasingekufa kama barakoa dawa au kinga
Wao mpaka chanjo tayar Leo kuna nyymbu watasema chanjo dawa hawajiuliz why India inakufa
Corona inakuja kwa awamu wewe angalia India awamu ya kwanza haikuuwa sana Awamu ya pili umeona weye matanga?baada ya kufa yeye watu mkiokua mnawatoa kafala hawafi tena?
Alikua mbaguzi mkubwa kuwahi tokea katika Marais wote ktk historiaIt's understandable, kundi lileeeeeee la upigaji