Pimbi km hizi zinaenda bungeni kupitisha miswada na sheria za nchiAiseeee! Nchi ya hovyo hii jitu lipo bungeni hata sec ipo kushoto mbogamboga ni watu wa hovyo sana.
Acha tu ni ufwala sana ndugu yangu.Pimbi km hizi zinaenda bungeni kupitisha miswada na sheria za nchi
Kwa kelele ya ndiooo!
Asaivi ndo wanaona umuhimu wa elim, kabla hawajaingia kwenye mfumo walikuwa wanazarau wenye elim Kwa vijisent vyao walivyokuwa wakivimiliki, ila baada ya kuingizwa kwenye mfumo ndo wanaona umuhimu wa elim, na ni Bado mammaaaaeMbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini Dodoma, kwa lengo la kujiunga na elimu ya Sekondari kwa njia mbadala.
Katika ziara hiyo, Mh. Chipando alipatiwa maelezo mahsusi pamoja na taratibu za kujiunga na masomo ya sekondari kupitia TEWW, na tayari amepewa control number kwa ajili ya kulipia ada ili aanze masomo yake mara moja. Hatua hiyo inaakisi dhamira yake ya kuthamini elimu kama nguzo ya maendeleo binafsi na ya jamii.
Mh. Chipando aliambatana na Mh. Asha Feruzi (MB), Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vyuo na vyuo vikuu, ambaye kabla ya kuingia Bungeni alikuwa Mhadhiri Msaidizi wa TEWW.
Ikumbukwe kwamba, TEWW ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 12 ya mwaka 1975, pamoja na majukumu mengine, ikiwa na jukumu la kutoa elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi kwa rika zote, ili kuchochea maendeleo endelevu ya Watanzania.
View attachment 3536526
View attachment 3536527
Elimu aina mwishoMbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini Dodoma, kwa lengo la kujiunga na elimu ya Sekondari kwa njia mbadala.
Katika ziara hiyo, Mh. Chipando alipatiwa maelezo mahsusi pamoja na taratibu za kujiunga na masomo ya sekondari kupitia TEWW, na tayari amepewa control number kwa ajili ya kulipia ada ili aanze masomo yake mara moja. Hatua hiyo inaakisi dhamira yake ya kuthamini elimu kama nguzo ya maendeleo binafsi na ya jamii.
Mh. Chipando aliambatana na Mh. Asha Feruzi (MB), Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vyuo na vyuo vikuu, ambaye kabla ya kuingia Bungeni alikuwa Mhadhiri Msaidizi wa TEWW.
Ikumbukwe kwamba, TEWW ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 12 ya mwaka 1975, pamoja na majukumu mengine, ikiwa na jukumu la kutoa elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi kwa rika zote, ili kuchochea maendeleo endelevu ya Watanzania.
View attachment 3536526
View attachment 3536527
Haina ✅Elimu aina mwisho
maajabu ya dunia! bongo akili ndogo inaendesha akili kubwa!!Aiseeee! Nchi ya hovyo hii jitu lipo bungeni hata sec ipo kushoto mbogamboga ni watu wa hovyo sana.
Elimu sijui FF, F6, digirii havina umuhimu nchi hii; watu tunaowataka kwenye bunge letu hili ni wajue/waweze tu kugonga meza baasiiAiseeee! Nchi ya hovyo hii jitu lipo bungeni hata sec ipo kushoto mbogamboga ni watu wa hovyo sana.
Aina ya vitu mbalimbaliHaina ✅
Inasikitisha sana.maajabu ya dunia! bongo akili ndogo inaendesha akili kubwa!!
Nenda sasa katext kuomba kazi hata jeshini utaambiwa hadi ujue kuongea kimombo ila bungeni sasa kwenye moyo wa nchi wamejaza mitungi ya gas.Elimu sijui FF, F6, digirii havina umuhimu nchi hii; watu tunaowataka kwenye bunge letu hili ni wajue/waweze tu kugonga meza baasii
Kigezo cha kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika, muheshimiwa baba Levo ameanza mwisho anakuja mwanzo.Aiseeee! Nchi ya hovyo hii jitu lipo bungeni hata sec ipo kushoto mbogamboga ni watu wa hovyo sana.
Hebu ondoa hilo neno Mheshimiwa kwa hiyo takataka ni kutukosea adabu waheshimiwa tuliopo mjini na JF nzima kwa ujumla.Kigezo cha kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika, muheshimiwa baba Levo ameanza mwisho anakuja mwanzo.