Gas swala la muungano ilhali zanzibar yao si ya muungano! Pathetic
Changu chetu, Chako chako. (Mwl. JK. Nyerere).
Gas swala la muungano ilhali zanzibar yao si ya muungano! Pathetic
Mkuu Zitto, nimeipost rasimu yenyewe hapa, ili kusaidia wachangiaji wajue nini kimo kwenye rasimu.