Rasimu ya katiba mpya-tujadili elimu

ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,366
596
1.Kila raia wa Tanzania ana haki ya kupata mkopo wa Elimu bila ubaguzi wala kugawa makundi ya aina yoyote,pasiwe na priority na non priority kwenye masomo na ugawaji wa mikopo,kama masomo fulani ni non priority basi yasifundishwe kabisa,kumnyima applicant mwenye qualification za kujoin chuo mkopo kwa kigezo cha shule ya sekondaari aliyosoma ni ukiukwaji wa haki za binadamu,inawezekana mzazi alimsomesha kwa kutumia pensheni na sasa imeisha, au aliuza ngombe wote kumpeleka mtoto shule ile,au aliyesaidia ada ni ndugu au jamaa ambaye sasa ni marehemu etc kumsomesha mtoto private sio kigezo kuwa una fedha.
2.Elimu ya lazima iwe hadi form 4 na itolewe bure,waliokosa nafasi serikarini wachangiwe katika private school.
3.
4.
5.
6.
 
Back
Top Bottom