Rasilimali zetu Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rasilimali zetu Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Labani Tumaini, Jun 19, 2011.

 1. L

  Labani Tumaini New Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tanzania ina rasilimali nyingi ( mf. Wanyama, misitu, samaki na madini) ambazo imezawadiwa na Mungu kwa manufaa ya wananchi wote. Tumekuwa tukizitunza rasiilimali hizi miaka mingi. Miaka ya karibuni rasilimali hizi zimekuwa zikivunwa kwa kasi sana. Kwa ufahamu wa wengi uvunaji huu umekuwa unafanyika kwa lugha ya uwekezaji ua leseni. Bahati mbaya kwangu sijawahi kukutana na takwimu za kiasi kinachovunwa kila mwaka na mchango wa mavuno hayo katika pato la taifa. Hivi wako watumishi wa serikali wanaosimamia mavuno haya? kama wapo twaweza kupataje taarifa ili kupunguza maswali yasiyo na ulazima?
   
Loading...