Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

Status
Not open for further replies.

Wakuu Katika sakata hilo Samuel Malechela alifokewa na kingunge kama mtoto mdogo kwani kamati kuu ilikuwa imemshitukia mkulu wa sasa.Japokuwa alikuwa amepenya na kupata fomu.Kingunge anabebwa na mkuu kwa ajili hiyo lugha ya kebehi aliyoitumia kumfokea malechela sitaki kuiweka hapa itawachefueni, ndo kwa maana alipewa zawadi ya uwaziri wa kuteuliwa pamoja na Thomas Apson Mwang'onda kwa ajili ya kumshukuru baba yake ambaye kwa sehemu fulani alisfanikisha kumweka mkuu madarakani.
 
Unaona sasa. Tukisema , oooh hamna adabu !! mnawatukana wazee !! Lakini mambo yote yako wazi. Hapa tunakwenda Ki-ushikaji. Kama hauko na sisi ........ Utaji......
 
hawatoki mars wala jupita bali miongoni mwetu. inasikitisha sana

Kiongozi ni kioo cha jamii anayoiongoza. Viongozi wetu wanatoka kati yetu na wanawakilisha haiba na tabia zetu tunaowachagua.
 
Wanajukwaa!!!! Nimekuwa nikijiuliza sana ni nani mkuu wa idara ya usalama wa Taifa hapa nchini? Na mwenye organization chart ya idara ya usalama wa Taifa naomba aiweke hapa ili tuijue!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…