Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

Status
Not open for further replies.

Well this is another interesting point...na nadhani maybe we can have a break through hapa

lakini tatizo ni ma SPOILERS ambao ni visible na invisible ambao wako so determined not only RO anafeli lakini the whole institution au organ ya TISS inafeli.

Kwa taarifa yako ni kuwa tayari mipango ishafanywa na isipokuwa kulikuwa na obstacles along the way...mfano kulikuwa na proposal za kusaidia makampuni ya wazalendo lakini baada ya kufanyika vetting ikaonekana kuwa baadhi ya the so called WAZALENDO are nothing but a bunch of opportunistic lots ambao hawafai hata kuwasaidia in teh first place kwani wanaongoza kwa kudodge Tax, na pili wana sabotage kwakusudi sasa kuna haja gani ya kuwasidia watu au makampuni dizaini hii?

Kwa kuongeza tuu hii economic intelligence ambayo ingeinclude the makeup of our nation's economy, its vulnerabilities, and the natural resources within a nation's borders ingekuwa mbali kama si akina KITINE kuendekeza politics na wizi pasipo husika

Watawala wetu wangeacha kuplay politics for once na POST COLD WAR era TISS inge concentrate kwenye collection of intelligence concerning trade practices and negotiating positions in trade talks and so on

Lakini mimi I am more interested na Industrial Espionage ambayo kwa kifupi no the stealing of corporate plans or technologies -- is another matter, particularly na hasa ukizingatia kuwa means za hiyo espionage ni kufanya PLANTING au RECRUITING A SOURCE in a foreign company in contrast to relying on COMINT.

Zipo evidence kuonyesha kuwa makampuni ya KiJapan yamekuwa yakiengage kwenye Industrial espionage against foreign companies lakini mpaka sasa hakuna hata chembe ya evidence kuonyesha DIRECT Japanese government involvement in such activities na hivyo ndivyo tulitakiwa kufanya.

Kwa upande mwingine pia wa Faransa na DGSE yao wamekuwa waki conduct a a coordinated and extensive campaign ya kuiba industrial secrets na concentration yao ni makampuni ya KiaAmerica. Kama mtakumbuka wakati DGSE ilipokuwa inaongozwa na chief Pierre Marion, tena kwa maneno yake mwenyewe waliestablish 20-agent branch to acquire the secret technologies and marketing plans of private companies....mind you hiii kitu ilifanywa kwa kupata baraka za rais wa Ufanza enzi hizo bwana Mitterand na target yao haikuwa USA pekeyake bali DUNIA NZIMA!!!!

Enzi za Marion ile branch iliweza kupata information on COMPETING BIDS na ndio siri ya France kushinda ile MULTI BILLION DOLLAR CONTRACT kusupply zile jet fighters to India. Vile vile hawa jamaa waliiba American technology ambayo iliwawezesha kujenga computer ambayo of all names waliita DGSE. Mambo hayo ya wizi yaliendelea mpaka Marion alioondoka. Ohh how can we forget jinsi hawa waFaranda walivyo attempt kuinfiltrate European offices za IBM, Texas Instruments, and several other U.S. electronics companies end results? well ilikuwa ni kampuni ya computer ya serikali ya Compagnie des Machines Bull ambao ilikuwa Taabani ile mbaya.

Kama una contacts kwenye duru za Intelligence tafuta DSGE memorandum iliyotolewa in 91 inaitwa "DEST Collection Plan,"ambayo ilikuwa ina list intelligence requirements and related targets zao kule Marekani...you know whats the juicy part?

Victims wao among others walikuwa ni Boeing, Ford Aerospace, General Dynamics, Lockheed, Hughes Aircraft, Pratt and Whitney, Rockwell International, na jamaaa wa TRW -----kwa haraka haraka utaona hapo ni a "WHO's WHO" of American high-tech companies.

Na specific information ambazo zilikuwa targeted zilihusu activities of ongoing negotiations, marketing strategy, weapons sales to foreign countries, civilian technology (e.g., high-definition television enzi hizoooo) na large number of military technologies (kama vile military space launch vehicles, SDI technology na aircraft programs)

Kwa kuongezea tuuu ni kuwa hawa jamaa wa DGSE walikuwa wanatumia mbinu mbali mbali mojawapo ni kuintercept COMMS za makampuni kama IBM na kwa taarifa tuu ni kuwa per day in Paris alone huwa kuna 30 to40 break-ins zinakuwa conducted PER DAY kwenye mahoteli NA SHUGHULI NI KUCOPY DOCUMENTS zilizoachwa vyumbani na hawa intl business men na diplomats

Point yangu ni kuwa sisi hatushindwi kudominate kila kitu kuanzia DRC CONGO mpaka nchi za kusini...the question is nani kwanza asaidiwe on National Interest ilihali hao hao ndio wanaongoza ku sabotage Taifa letu tukufu?
 

Mhh!,
Hii kali, inavutia lakini.
 
Mkuu hii kali na inaonekana imetoka moyoni. Atleast inatuonyesha sisi wananchi wa kawaida kumbe na wenzetu pia inawauma kuona kuwa mambo hayaendi. ASANTE SANA!
 

Government as an institution need to have more and more SMART people to bring about development. GT, unadhani ni rahisi kuyafanya hayo hapo juu kwa calibre ya watu waliopo na mindset zao? Unadhani hata mikataba mibovumibovu tunayoingia ni kwa sababu tu ya rushwa au ufisadi?

Unahitaji kuwa intelligent, sio uzoefu tu kuona mambo, kujua yatakupeleka wapi,ku-strategize ufanyeje na ku-monitor. With due respect, the Govt have not been able to recruit and retain such people.
 
KUna siku ukiamua kumwaga nyanga unashuka kweli kweli!Lol,

Anyway, nakubaliana kabisa na wewe kwamba imefika mahala sasa mitazamo ikabadilika na tukaingia ndani ya game kama watu tunaocheza kwa nia moja tu ya kushinda. Tumekuwa watazamaji muda mrefu na pengine tumeitumia hii taasisi muhimu kabisa sehemu ambazo hazina tija kwa Taifa. They have to take the lead in the areas that we will benefit as a nation.

Na kama wachangiaji kadhaa walivyosema pengine baadhi ya watu walioaminika na kupewa majukumu mbalimbali ndani ya hii taasisi walituangusha maana waliweka mkazo zaidi kuboresha maslahi yao na kutumia upana wa madaraka yaliyopo kuwadhibiti wote waliowaona wanaingilia interest zao, hata kama zilikuwa hazina manufaa kwa taifa.

Pengine imefika mahala sasa RO akaisuka hii system in the way that it becomes the first deliverer of what we want as a nation.It is about legacy... kama ile ya mzee Gama na akiamua he can do it. Hayomambo ya kuwa social siyo dhambi maana na yeye anahitaji hayo pia.
 

Nakupongeza mkuu kwa analysis nzuri.

Hata hivyo analysis hii inaekea kutoka kwa mtu ambaye ni armchair analyst na asiyeijua nchi yetu hata chembe katika fani ya biashara zinazoendelezwa na wazalendo.

Nimehighlight comment yako juu ya mpango wa kujaribu kuwa inua wazalendo ili waweze kutoa ushindani katika biashara.

I am incensed.

I am in realtime business.

Ni viongozi WACHACHE SANA wanawapendelea wazawa/wazalendo kwa visingizio mbali mbali

Mara oooh wakipata wanaishia kuoa!mara wa dodge kodi!

Ali mradi kunavisingizio tofauti na visivyo na msingi

Katika Kudodge Tax hebu fuatilia vizuri scandals zote za kodi, na utaona ni waTanzania wa asili ya Kiasia wanaongoza.

Contract karibu zote kubwa wanapelekewa hawa watu ON A SILVER PLATTER.

Hii siyo siri, wanaopeleka hizo contract ni kwa mategemeo ya kupata 10%, even fools know that this is happening.

Pamoja na wazo zuri kabisa la kua nzisha INDUSTRIAL ESPIONAGE, hii itakuwa kwa faida ya NANI kwa sasa?

The answer is clear.

Bila uzalendo wa kweli biashara hakuna, ni wizi mtupu!

Your analysis is good and clear GT, but it is a matter floating offshore!

No anchorage here.
 

Kaka Nimesoma post zako zina points nyingi tu, lakini inaonekana wewe ni tomaso esp kuhusu mambo ya mzee....Naomba uamini kwamba mzee ni mtu wa vimwana nazungumza hivi kwa uhakika kabisa, ameshasababisha ant flan wa hapa mtaani wagombane kisa kawachanganya na kadada flan hivi kanasoma pale IFM....sasa ukiangalia hapo kaweza kuyafanya hayo akiwa tz vipi akiwa huko kwenu? Hata huyo mwanae ni mshkaji pia kasoma na madogo zangu pale mlimani, analijua hilo swala vizuri sana.

kalagabao mkuu, unapoteza energy yako bure kubisha vitu ambavyo watu wana-data za kutosha. Au na wewe ni kati ya watu waliopewa fadhila na mzee nini?
 

mkuu GT, nahisi kuna kitu umeongea hapa, ambacho ni very productive!! kv muda wa kukaa cafe umeisha, wacha ni-save kwenye flash hoja yako nika-digest polepole gheto
 

Mkuu kuhusu mkuu kumwahidi Othman endapo atapata urais kumpa madaraka au cheo hiyo inaweza kuchangiwa na jinsi mkuu alivyomfahamu Othman kwani amekuwa kwenye shughuli za chama kwa muda mrefu kabla ya multipartism, hivyo walikuwa wote japokuwa mkuu alikuwa kada hasa kwa upande wa vijana.Othman alikuwa kule kwa niaba ya serikali hivyo anamjua utendaji wake ndo maana akaamua kumpa hayo madaraka.
Awali nimezungumza kuhusu udhaifu wa kibinadamu ninaimani Othman kama mwanadamu mwingine anao udhaifu wake pia lakini ndugu zangu nivyema umpa mtu credit anapoisitahili. Hata uhuru wetu huu wakuzungumza kila jambo linachangiwa na uelewa wa idara kumbuka huko nyuma hata magazeti yalikuwa yana dhibitiwa censored.lakini leo tunazungumza lolote na kwa uhuru hilo nalo tulione.
 
kwa Kweli wachangiaji wengi mmetoa maelezo na ufafanuzi mzuri sana kuhusu hii idara UWT, lakini kwa mtazamo wangu hii idara haipo huru inafanya kazi kama ile Tume yetu ya uchaguzi japo inazungumzwa kuwa iko huru, lakini ukweli ni kuwa haipo huru.

Kwa system ya usalama ya Tanzaia, ni kweli imeyumba kutokana na mabadiliko ya kisiasa ya kitaifa (single part to multpart) na kimataifa (East to west block) lakini huko nisingependa niende sana.

Siasa imeingia ndani ya UWT, nina uhakika watu wa UWT wanakusanya data kila mtu katika kitengo na section zao, lakini tatizo ni kwenye maamuzi, japokuwa UWT hawashitaki mtu kutokana na nature ya kazi zao lakini wanakuwa wanajua before ni nini kinachotaka kutokea.

Mfano ule wizi wa EPA pale BOT, hawa jamaa walishakuwa na full picture ya nini kinachoendelea kwa sababu ndani ya BOT wapo wengi tu vijana wa kazi wenye uchungu na nchi hii lakini huo wizi ulifanyika kutokana na Siasa kuchukua mkondo na kuweka maslahi ya Taifa nyuma. sasa swali la kujiuliza huu usalama wa taifa una faida gani na upo kwa sababu ya nani kama kweli inashindikana kuzui haya mambo ya UFISADI ambayo nayo yako kwenye huo usalama wa Taifa, au wako hapo kwa ajili ya kulinda viongozi na kulipeleleza jeshi lisipindue nchi

Nadhani panahitajika reform kubwa ndani ya hii idara, kwa sababu kwa ajili ya usalama wa TAifa kwa fisadi kupigwa risasi si kitu cha ajabu kwa faida ya Watanzania waliobaki, kwani kama mtu anajulikana kaiba BOT lakini serikali haina uwezo wa kumshughulikia basi dawa ni kumtandika risasi ya paji la uso,

Mimi mpaka leo najiuliza Kombe aliuliwa na nani na kwa sababu gani, kama ilikuwa ni raisi kwa kombe kuuawa kwa maslah ya Taifa inakuwaje vigumu kwa fisadi kuuawa?

Lakini mwisho wa siku unakuja kuona Siasa imeingia ndani ya Idara na sasa Idara imepoteza uwezo wake.
 

- Mkuu Kahinda heshima yako tena, hoja ya kweli haiwezi kuthibitishwa na neno "inaweza kuchangiwa", kuna mahali umesema kwamba some of us hapa JF tubahatisha habari za kuokota vijiweni, sasa na wewe tena unarudia yale yale ya kubahatisha, ndio maana tukakwambia kuwa careful na jinsi unavyotumia maneno yako, kama uan habari yenye ukweli zaidi ya uliowekwa na wengine wewe weka tu hapa, maana ni mahali pa kuelimishana sio kurushiana maneno ya kashfa.

- Also, hiyo hoja yako kwamba Rais alifanya kazi na RO, ndio maana akampa nafasi sijaelewa what is your point kwamba hawa Mtandao wote aliowapa nafasi aliwahi kufanya nao kazi huko CCM, au?

- Halafu mwisho naomba nikukumbushe kwamba, ukisoma vizuri sana hii thread mwanzo mpaka ilipofikia sasa, basi utaona kwamba hakuna tuliposema RO sio bin-adam kwamba hatakiwi kutokuwa na mapungufu, infact tulifika hata mahali tukakubali kwamba sasa he is doing a fine job na anakubalika sana huko kwenye idara, lakini ukitafuta thread inayohusu Chenge kuhojiwa kuhusu BAE, basi utaona tulisema wazi kwamba mstaafu wa huko anambana sana mbavu RO anashindwa kunga'ara kwa sababu bado mpaka sasa anai-remote idara, lakini otherwise binafsi sina tatizo na kazi ya RO, toka ashike amejitahidi sana kuibadilisha system ili iwe ya kisasa, lakini sio rahisi sana, sasa ni wizara moja tu inayoshika namba moja on modern systems hasa za kiteknologia nao ni Foreign Affairs.

Respect.


FMEs!
 
Is it still the case even now? If so then the guys must be very powerful.Sioni kama ni vizuri akawa na room kubwa kiasi hicho ya kuenndeleza anayoyataka wakati yeye yupo nje ya ulingo.Hakuacha legacy yoyote ya maana asimuharibie mwenzake.
 
Is it still the case even now? If so then the guys must be very powerful.Sioni kama ni vizuri akawa na room kubwa kiasi hicho ya kuenndeleza anayoyataka wakati yeye yupo nje ya ulingo.Hakuacha legacy yoyote ya maana asimuharibie mwenzake.

- Mkuu wangu siasa ni mchezo wa ajabu sana na ni mchafu, ndio maana huwa unachezwa na wachafu wachache sana, huku wananchi tukiwa wasindikizaji tu!

- Wanaofahamu vizuri huwa wanasema huyu mstaafu, na BM walikuwa ni ma-co Presidaa, sasa kweli unafikiri BM alikuwa mjinga kuwapa power Mtandao bila kutayarisha kinga incase!

Respect.


FMEs!
 

Mkuu nina doubts sana kama BM alipenda JK awe presidaa, kama kweli alipenda inawezekana Ben ni mvivu wa kufikiri kuliko wote japo yeye alituona ni wavivu kiasi hicho. Ma sure Ben alifanya kazi na watu ambao alikuwa satisfied na uwezo wao, na ambao wangeweza kumlinda as well.

Am suspecting kuwa yeye ndiye alimwingiza mkenge kwenye urais ambao unamfanya leo aonekane hopeless president. NI kama amemwingiza mikononi mwa Rostam na Lowassa, and it is very possible that he saw it coming. Inawezekana jamaa alizira na kusema "waache wavivu hawa wakome"

Siwezi kuquestion credentials za RA, na inawezekana kabisa jamaa ana merit. Na utendaji wake na taasisi as whole inaonesha kuwa ni mzuri kuliko tulivyodhani before, tatizo liko kwa decision makers (political leadership). Jamaa wangekuwa decison makers tusingekwama kwenye ujinga tunaolia nao leo.

Sidhani kama uslama wanashindwa kudeal na mtu yoyote Tanzania kama wakiwa na greenlight. Lakini wansiasa wanasema wazi kuwa hawa hawakamatiki na wanasema wazi kuwa wanawaogopa. What the heck.
 
1. Im just asking myself is it a "coincidence trend" au ni ule ubashiri wa mwanabodi mmoja aliyewahi kusema nafasi nyeti zote zitaenda kwa akina..............., sijui ndio unabii huo unatimia??

Sema tu usiogope, mbona hii serikali tangu iingie madarakani, udini uko njenje tu. Hilo halina ubishi, so usione soo kulisema kwakuwa kila mmoja analielewa hilo
 

Inasemekana chaguo la Ben plus Mangula lilikuwa Dr. Salim, wazushi wa mambo wanadokeza kwamba Mzee Salim hakuwa na mpango wa kugombea Urais, bali aliombwa na mzee Ben plus Mangula afanye hivyo.

Habari zisizo rasmi zinazidi kudai kuwa, Mangula alipoona JK anabeba umaarufu sana alitaka kumnyima form ya upresidaa, Mzee Mwinyi ndiye aliyewaomba akina Ben na Mangula wampe form JK ili wananchi ndo waamua hatma yake. Na hiyo ndiyo sababu kubwa ya kwanini JK anambeba sana Mzee Mwinyi, na pia hiyo ndiyo sababu kubwa ya JK kumtosa Mangula.

Mtu mwenye akili japo ya darasa la saba tu asingefikiria kabisa kwamba Mangula aachwe kabisa asipewa hata kanafasi kadogo, kwa kazi kubwa aliyoifanya. Halafu you can just imagine, unamtoa Mangula unamuweka Makamba, hata mtoto mdogo hawezi kufanya hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…