Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

Hakuna asiyeufahamu umahiri wa Rashid Matumla katika ndondi , huyu ni kati ya mabondia wachache sana walioliletea Taifa hili heshima kubwa sana .

Lakini kama ilivyo ada , katika kila jema kuna upande wa pili wa mabaya , Baada ya kupata umaarufu ule , Rashidi akaamua kuzaa watoto wasio na idadi , mithili ya kufyatua matofali kwenye mashine ya umeme .

Ana watoto zaidi ya 10 , ambao ameshindwa kuwatunza na wamegeuka WAKABAJI , ( Mkazi yeyote wa keko anaweza kuthibitisha )

Ukabaji ninaoumanisha hapa ni ile tabia ya vijana vibaka na mateja maeneo ya uswahilini , kuamua kuvizia na kuwakaba na kupora mali za wananchi , hadharani na gizani , kwa maana nyingine ni kwamba Rashid Matumla ameleta kundi la wakabaji kwenye mitaa ileile aliyokuwa akisifiwa kwa ushujaa wake , jambo linaloleta aibu kwake mwenyewe na kwa wote waliomsaidia kuwa bingwa .

Wito kwa wanamichezo wa Tanzania kuweni makini sana na umaarufu wa kupita , angalieni mbele zaidi , msije dhalilika kama Rashid
Watoto wa snake boy walikengeuka ni wawil tu, musa na daud. Vjana wakabaj keko ni weng na wanatoka familia tofaut sidhani kama ni haki kusema rashid kaleta janga. Keko ukabaji haujaanza jana, tangu enzi hzo za akina marehem chatu, ally kingongo tena enzi hzo ukabaj ndo ulikuwa kwnye highest point siyo sasa! Hao watt wanaiga tu wala hawajawa tishio kivile kwa keko.
Kwl snakeboy ana wtt wengi lkn kama nilivyosema vijana wale wawil ndo wana mienendo ya ajab na cyo wao walioanzisha hako kamchezo keko, so huwez sema rashid kaleta janga keko.
 
Duh sikuwahi kuisikia hii.

Mdogo wake ni askari na kazi yake kubwa ni Doria na Difenda, anapiga sana Ngumi, uswahilini Magomeni na viunga vyake Masela wote wanamtambua.
Kaka yake anaitwa haji na mdgo wake anaitwa hassan wote ni polis. Tena kuna mdgo wake mwingine anaitwa karim alikuwa mwanajesh akasafir na timu ya jesh australia kwnye mashindano ya majesh hakurud tena Tz.
 
Hata huko Kibiti wamejaa wahifadhi juzuu a.k.a swala 5 lakini wanayofanya ni kinyume kabisa
Ndugu acha chuki za kidini hayo unayosema una ushahidi nayo? mada ni kuhusu matumla sasa mabo ya juzuu yanaingiaje mdau!! dunia haiwezi kuwa salama kama tunakuwa na hisia hasi juu ya imani za wengine hamna bingwa wa dini aliyepatikana mpk leo so ni vizuri kuishi katika imani yako unayoamini na kuifanyia mema ili uwe na ushawishi kwa hao unaohisi wamepotea waje upande ni si dhihaka na dharau=chuki
 
Watoto wa snake boy walikengeuka ni wawil tu, musa na daud. Vjana wakabaj keko ni weng na wanatoka familia tofaut sidhani kama ni haki kusema rashid kaleta janga. Keko ukabaji haujaanza jana, tangu enzi hzo za akina marehem chatu, ally kingongo tena enzi hzo ukabaj ndo ulikuwa kwnye highest point siyo sasa! Hao watt wanaiga tu wala hawajawa tishio kivile kwa keko.
Kwl snakeboy ana wtt wengi lkn kama nilivyosema vijana wale wawil ndo wana mienendo ya ajab na cyo wao walioanzisha hako kamchezo keko, so huwez sema rashid kaleta janga keko.
Mkuu middo unadhani kwanini watoto wa keko wakiwemo hawa wa Rashid wanaishi kwa kutegemea kabari ?
 
Ukabaji keko ni miakq hyo kwa sasa ukabaji upo lkn ni kama maeneo mengine tu ya dar. Kumlaum snakeboy eti kaleta janga nadhan ni kutomtendea haki snakeboy, wtt wake ambao ni watukutu wapo wawil tu daud na musa na hawajashindikana ss cjui unapata wap haki ya kusema eti kaleta janga
MTOA POST ATAKUWA ANA CHUKI BINAFSI
 
MTOA POST ATAKUWA ANA CHUKI BINAFSI
Mkuu usimsikilize huyo , nenda Keko kaulize , nimeweka wazi kwamba mkazi yeyote wa Keko ana ushahidi ,huyo middo hajakanusha bali amejaribu kupunguza idadi ya watoto wanaokaba , jambo ambalo si kweli .
 
Mkuu middo unadhani kwanini watoto wa keko wakiwemo hawa wa Rashid wanaishi kwa kutegemea kabari ?
Nmezaliwa na kukulia keko na sitegemei kabari. Keko imegawanyika na kila kpande kina tikili zake za maisha. Toroli wanategemea sana biashara ya sofa, molemo na magurumbasi yote ya bonden haki kwa snakeboy walijiweka kimichezo sana hasa ubondia, national wtt wa pale walikuwa kishule kidogo na biashara ya mafuta (kama utakumbuka kipindi cha diesel power) Keko juu (bad number) wako kibiashara sana wameji engage kwnye biashara tofaut tofaut.
Narudia tena ukabaji keko ni kma maeneo mengine ya dar, keko kwanza imebaki jina wagen weng mambo ya zaman ni kama yameisha.
 
Mkuu usimsikilize huyo , nenda Keko kaulize , nimeweka wazi kwamba mkazi yeyote wa Keko ana ushahidi ,huyo middo hajakanusha bali amejaribu kupunguza idadi ya watoto wanaokaba , jambo ambalo si kweli .
Bab, unachoelezea ni histor ya keko lkn si maisha halis yaliyopo kwa sasa. Mm siongei kwa kuhadithiwa. Mzawa kpande hicho.
 
Duh sikuwahi kuisikia hii.

Mdogo wake ni askari na kazi yake kubwa ni Doria na Difenda, anapiga sana Ngumi, uswahilini Magomeni na viunga vyake Masela wote wanamtambua.
Angepelekwa Kibeat atusaidie kupambana na Wauaji!
 
Ndugu acha chuki za kidini hayo unayosema una ushahidi nayo? mada ni kuhusu matumla sasa mabo ya juzuu yanaingiaje mdau!! dunia haiwezi kuwa salama kama tunakuwa na hisia hasi juu ya imani za wengine hamna bingwa wa dini aliyepatikana mpk leo so ni vizuri kuishi katika imani yako unayoamini na kuifanyia mema ili uwe na ushawishi kwa hao unaohisi wamepotea waje upande ni si dhihaka na dharau=chuki

Sawa mkuu nimeacha
 
Umaarufu uwe upande wa kipato cha nguvu, cha kumuwezesha kuwekeza. Tz, raia anailetea sifa ila malipo ni ya chakula tu, baada ya muda hamna kitu, na anasahaulika. Waimbaji wa zamani ni hivyo hivyo, nyimbo zinavuma mpaka leo, wenyewe walishafariki wakishuhudia wahindi wanatengeneza pesa.
 
Vijana wa huko wengi wanaujuzi na ni wataalamu wa kuhifadhi Juzuu , hushindana kuhudhuria madrasa
Ulitaka wahifadhi uongo kuwa mungu ana mwana ! Yaaani Matumla kamshinda mungu kwa kuzaa watoto wengi. Katoto kamoja kisha kakasulubiwa !
 
Hata huko Kibiti wamejaa wahifadhi juzuu a.k.a swala 5 lakini wanayofanya ni kinyume kabisa
Uko Mara kwenye Kanda maalum wamejaa wabeba Biblia kazi yao kulima bangi, wizi wa ng'ombe, kukatana mapanga na kukeketana !......hata Yesu akirudi watamgeta kama si kumkeketa
 
Hawana ujuzi wowote ule utawasaidiaje ? Ni hivi , vijana wengi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , keko Machungwa na Keko Torori mwisho wa elimu yao ni darasa la 7 tu .
Na wengi wao ni zao la single parent yani hawawajui baba zao....
 
Kweli watoto wake mabishoo lakn wanakuja kujiunga na masela kukaba sema safi tu wazembe tunawasaula sana
 
Uko Mara kwenye Kanda maalum wamejaa wabeba Biblia kazi yao kulima bangi, wizi wa ng'ombe, kukatana mapanga na kukeketana !......hata Yesu akirudi watamgeta kama si kumkeketa

Umenichekesha hahaha, ila hapo kwa Yesu napita tuu
 
Back
Top Bottom