Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

Sijaona kosa la Rashid matumla hapo kwa tabia za watoto wake, kila mtu anahukumiwa kwa makosa yake na sio makosa ya watoto au wazazi
 
Kama angezaa watoto ambao angeweza kumudu gharama za elimu yao , hali ingekuwa tofauti , kwa mtu masikini kama Rashidi kumiliki watoto 15 ni kujitakia balaa tu
Hilo nakataa, suala la uwizi upolaji na kadhalika ni hulka za mtu. Niwakumbushe matumla mwenyewe ni street boy, ambaye hata kuingia kwenye ndondi ni ule uhuni wake wa mtaani. Sasa tusiwe waoga kama issue iko wazi, basi tulijulishe jeshi la polisi ili liweke mtego.
 
Kwani huko hakuna WANAINCHI WENYE HASIRA?
Huko hasira inatokea wapi hata kichuri hawanywi wao wanachoma pweza na vijiti wanatowezea kwenye pilipili kisha wanamalizia na mahindi ya kuchoma wanashushia na maji ya Kandoro
 
Back
Top Bottom