King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,159
- 95,894
Dah, asante sana mkuu, kama vp tupia na nanakutesa wa Soggy Doggy Hunter.
wapi inspecta haruni na dili mpeto masela wamebarizi
aisee saidia kuweka ya Diplomatz-Are u down.
nimeikumbuka kinyama!
Dah, asante sana mkuu, kama vp tupia na nanakutesa wa Soggy Doggy Hunter.
Waungwana kuna mipini nime-attach hapo ya 90's quality yake sio nzuri sana lakini inasikika
Kama kuna mtu anazo zenye quality nzuri aweke humu jamvini
1.DPG-Rudi Mpenzi---1999
2.Afro reign ft Hashim - Saa za Kazi -1996
3.Sos B - Kukuru Kakara Zako -- 1996
4.Mawingu- Oya Msela --- 1995
Mkuu tembelea hiyo link hapo chini utapata hits za kipindi hicho kibao, Maskini jeuri by Manduli Mob ft Juma Nature is my feva
Manduli Mobb Ft Juma Nature - Maskini Jeuri | Muziki.net
Yap hyo trak naitafuta sana kiongoz pia ni ile aliyoimba na unique sisters nikisema need i need you too nlikuwa nazo sema jamaa aliformat hdd kibahati mbaya.
====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
====================
Huu hapaaisee saidia kuweka ya Diplomatz-Are u down.
nimeikumbuka kinyama!