Kumu influence mtu kuko kwa aina nyingi. Mfano kuiga kuimba, kuiga beat, kuiga aina ya uvaaji au kutembea, sauti na mengine mengi.
Sasa Nas alianza kumuiga Pac kwa baadhi ya mistari na beat kabla Pac hajafariki. Pac akamchana live na kumuonya kweny ule wimbo wake wa 'Against all odds' kama ushawahi kuusikia. Mashairi yenyew ambayo Pac kamchana Nas live hayo hapo
This little nigga named Nas thinks he live like me, talk bout he left hospital took five like me. You living fantasies nigga i reject your deposit
Na sasa Nas akiwa kwenye show zake sometimes anatumia style ya Pac katika uvaaji. Picha hiyo hapo Nas akiwa jukwaa matupia kama Pac.
Pac ni kama maji kwa wana hip hop wakubwa wa Marekani. Ina maana kama haukuyanywa utayaoga au upikie.
Pac 4 life