Rapper Nacha mnamchukuliaje ndugu zangu

joint

Senior Member
May 26, 2018
108
99
Kwangu mm nacha ndy rapper bora kwa sasa tz. Tangu aachie grow up jamaa hakosei.
IMG_20200416_233339_478.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
naunga mkono oja, mwamba yupo poa sana, ila ana nyimbo yake moja video kavaa kama yesu ameiachia juzijuzi, kiukweli ile nyimbo mbovu sana, mashaili yake hayajakaa vizuri, ila anajua
 
Nacha yuko vizuri lyrically.Lakini anatoa chenye industry haihitaji Kwa sasa, jambo linalofanya mziki wake usikilizwe na aina fulani ya watu hivyo ku limit audience yake.
 
Nacha yuko vizuri..Isipokuwa style yake mpaka watu wenye ubongo mpana kuelewa nini anafanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom