Rapidshare users

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
575
Reaction score
146
haarini jf members. Wakubwa nimeona wa2 weng wakiandika thread zinazohusu kudownload ku2mia rapidshare. Mi ni mgen wa haya mambo nataka kujua hyo rapidshare ni nini?,inatumiwa vp? Inafanyakazi vipi? Na inapatikana wapi pamoja na faida zake?
 
Si ungeuliza kwenye hio thread? Kuna ulazima wa kutengeneza mpya
 
haswaaaa! Sio kujianzishia thread kila ukijiskia,..
 
msimshambulie sana duh kila mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…